Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

Nipo hapa namuhurumia tu huyo mwanamke mwenzangu (mkeo), mana machozi yako karibu kuanza kumtoka, usaliti unauma jamani chaaa
najua nimemkosea sana mke wangu, sikutegemea haya na nafanya kila niwezalo jamii inayonizunguka isijue hili ili kumtunzia heshima yake
 
Ni bora ukamwambia mkeo mapema kuliko ukaficha akajua kupitia watu wengine. some women are FBI na akijua mwenyewe moto utawaka. Sema wanaume mnazingua sana yani kondomu hadi za jero zipo
 
Mkuu sioni sababu ya kupata pressure
hayo mambo huwaga hayasemwi,,,,,mtafute mtu mliyeshibana anaweza akawa Baba,mama,mdogo wako au rafiki, mpe maelezo yanayotosheleza kuhusu mtoto na mama yake, HIYO INATOSHA

Mke wako hatakiwi ajue kabisa na wala usijenge mazingira yayeye kujua,PILI usifanye makosa ya kusema unajenga nyumba ya mtoto sasa hivi, msaidie mama na mtoto waweze endesha maisha yao bila kukutegemea wewe( utafanikiwa kama mchapuko ana akili).

Ntakupa mifano ..Mzee wangu alikuwa na watoto 02 nje, hakumwambia mtu yeyote isipokuwa rafiki yake moja TU ( na hili aliniambia alimjulisha incase likimtokea kuwe na taarifa).. Nilipomaliza chuo aliniita akanieleza na kuniomba msamaha kwa niaaba ya wadogo zangu...akaenda kunitambulisha kwa hao watoto na mama yao,,mzee alipofariki mimi niliwatambulisha watoto kwa ukoo, na mpaka leo tunaishi kwa amani, hata mali za mzee watoto wote walipata sawa hukukuwa na huyu ni mtoto wa ndoa na huwa sio.,cha kushangaza hawa adogo ukitukuta huwezi utadhani mama yetu ni moja

Wewe timiza majukumu yako, kwa mke mkubwa na mdogo, mambo ya kumwambia yatakuvunjia ndoa, huko mbeleni mambo yatajiset yenyewe

Kila la kheri
 
mkuu ahsante sana kwa huu ushauri wako
 
Usikurupuke.

Kimada anamjua Mke, hiyo inatosha kwa sasa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwasasa Fanya uwe unatuma matumizi kwa mama Wa mtoto Fanya kwa siri mkeo asijue, halafu baadae mtoto akikua kabisa uwezo Wa kujitambua mtambulishe kwa mkeo na kwa watoto wako wamtambue kama ni ndg yao.

Kama mkeo hatataka kumpokea huyo mtoto mpeleke hata kwa mama yako akaishi huko
 
Mkuu mie nashauri tu ujitahidi hivoivo kama jinsi ulivofanya siri mpaka ukapata mtoto nje, ndo hivoivo endelea kumtunza kwa siri! Chamsingi weka utaratibu wa kutuma au kutoa pesa ya kutosha kwa mama yake ili asikughasi mara kwa mara! Pia huyo wa nyumba ndogo hakikisha anajua kuwa una mke maana makeke yake ndio yanaweza fanya wifu wako akagundua, Japokua wife wako ni lazima tu atakuja kufahamu lakini ikichukuwa muda mrefu haitakuwa na effect sana maana atakuwa tayari ana familia ambapo itakuwa rahisi kumsihi muangalie maslahi ya familia kuliko kufarakana! Pia tafuta ndugu yako mmoja tu mwaminifu ndo mweleze issue hiyo na ikibidi mkutanishe kabisa na huyo shem wake wa nyumba ndogo ili amfahamu mtoto so hata ikitokea umefariki iwe rahisi kumtambua mtoto kama mwanafamilia! mipango mingine kama kumjengea nyumba kama uwezo un aruhu hilo ni jambo jema kwani litapunguza pia competition ya kurith mali ikitokea wewe ukafariki! ANGALIZO: Usijelewa penzi la nyumba ndogo ukaitelekeza au kuisahau njia kuu!
 
mkuu anajua kama nina mke na ahsante kwa angalizo lako mkuu
 
mkuu hapo namba tatu umesema nimjengee huyo mtoto then mama yake asijue chochote, hii nyumba nitamkabidhi nani? nieleweshe hapa ndugu..
Documents weka kwa wazazi wako, hyo nyumba pangisha hela inayopatikana unawapa wao kwaajili ya matumizi.............wasiende kuishi kwenye hyo nyumba maake huna malengo na huyo mwanamke.
 
mkuu hapo namba tatu umesema nimjengee huyo mtoto then mama yake asijue chochote, hii nyumba nitamkabidhi nani? nieleweshe hapa ndugu..
Samahani kwa kuingilia hili swali,,,

Hakika katika familia yako una mtu unamuamini,,,mtumie huyo kumuweka karibu na mama mtoto wa pembeni hakika taarifa zote zipitishie kwa hiyo na kwa Sasa ifanye hiyo Kama nyumba umepanga aishi na mtoto hata kama Ni kubwa tia wapangaji.

Kwa kawaida unakabidhi hiyo nyumba baada ya mkeo kugundua una mtoto hasa baada ya miezi 2 ya soon maana mke ataanza kuwafatilia na hutaamini!!!
 
hapa sitaweza kuharibu mkuu?
 
mkuu hayo sio tatizo kabisa, ninachohitaji ni familia yangu isijue haya, nifanyeje?
Kujulikana itachelewa ila watajua tu,

Ushauri wangu;
Tunza huo ujauzito na mwenye ujauzito, mpaka hapo itakapojulikana, na ukitaka muda wa wewe isijulikane na uchelewe na kama una uwezo fanya kujitoa endelea kumtunza Mama na mtoto mpaka hapo mtoto atakapofikia umri wa kusoma.
Mchukue kisha kamfiche mtoto shule za boarding na Mama yake asijue ni shule gani au unaweza kumwambia Mama yake kuwa unamchukua mtoto unampeleka mkoa mwingine kwa shangazi au Bibi, wewe utakua unaenda kumsalimia, kipindi cha likizo mtoto awe anaenda kwa Mama yake.

Zingatia kuwa kwa kipindi hiki kuwa karibu na huyo mjamzito ila sio kwenye simu, jitahidi simu yako iwe free kwa wife, kwa sasa na hata akijifungua usithubutu kumkaza papuchi maana utakuwa unaelekea kujimilikisha mke wa pili.
 
Back
Top Bottom