Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

Hapo ndipo ulipofanya kosa. Huyu amejipanga kukuvunjia ndoa yako. Utayaona baadae. Utarogwa familia itasumbuliwa na utapelekwa mpaka ustawi wa jamii. Mwanamke amekuzidi akili hapo tu
kuna mda hata mimi nafikiria kuhusu hili suala la ulozi, ina maana nimtozee na huyu mtoto mkuu? kwangu inapoishi familia yangu hapajui na wala mke wangu hamjui niko nae huku mkoa ninaofanyia kazi
 
Hujawajua wanawake wewe, huna tofauti na yule aliyesema tumia ubabe asipokuelewa fukuza.

Mwanamke utakayeenda nae kwa style hio labda uhakikishe anakutegemea kwa 100% yeye pamoja na ndugu zake. Kwa maana awe sawa na wale mabinti wa kigogo ambao hawanaga kazi wala biashara wao wanasuburia mume asimamie kuanzia kwake mpaka kwa mashemeji na ukweni.

Kinyume na hapo show itakuwa kali!!!
Hapana Extrovert hii unaangalia where applicable ni mambo ya psychology tu hizi defence mechanism, mjengee hofu ili umpunguze nguvu ya kukusumbua utakapo lipua bomb.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aligoma kutoa kaka na alikuwa tayari alee mwenyewe ila sio kuitoa
Hata mchepuko wangu alikuwa hivi hivi aligoma kutoa na kudai atalea mwenyewe ,nlimkomalia hadi akatoa now Nina amani sina mategemeo tena ya mtoto nje ya ndoa
 
Hata mchepuko wangu alikuwa hivi hivi aligoma kutoa na kudai atalea mwenyewe ,nlimkomalia hadi akatoa now Nina amani sina mategemeo tena ya mtoto nje ya ndoa
Aiseee hongera mkuu, Mimi ndo yameshanikuta hivo
 
Kwa ujinga huu wanawake mliokuwa nao wacha tuendelee kuwagegeda tuu na kuwazalisha.
[emoji23][emoji23] kwahyo ukimzalisha utafaidika na nini?
Lakn pia utambue kuwa hata mkeo pia anaweza kugegedwa vzr tu na akazalishwa huku ww ukijiamini kuwa ni watoto wako... Dunia uwanja Wa fujo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mchepuko wangu alikuwa hivi hivi aligoma kutoa na kudai atalea mwenyewe ,nlimkomalia hadi akatoa now Nina amani sina mategemeo tena ya mtoto nje ya ndoa
Ulifanya kosa kubwa sana kutoa. Huwezi jua huyo mtoto angekuwa nani ktk maisha yako... Fanya mpe mimba nyingne mlee mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple sana hii,

Mchukue wife mtoe out mbali huko, muende ijumaa lengo liwe kurudi jumapili jioni, ijumaa hiyo hiyo usiku, mwambie "mke wangu, nimekukosea na nipo hapa kukuomba msamaha" atakuuliza kosa gani? Mwanamke kiufupi hivi "nimekucheat na bahati mbaya nimesababisha mimba" then utasolve kwa kadri atakavyoreact, usiku wote utumie kumbembeleza na neno lako ni moja tu "nisamehe mke wangu", usiku huo atabwabwaja sana, au kulia or vyovyote, wew neno lako ni lile lile "nisamehe mke wangu", kadri muda unavyokwenda atakubaliana tu na ukweli.

Then, jumamosi unaendelea kuomba msamaha, jitahid kuact hata kulia, kupiga magoti. ATAKUSAMEHE TU.. wanawake wakioneshwa bila yeye huwezi wanaonaga raha sana wanasahau kila kitu, then baadae utajua mwenyewe jinsi ya kurudisha heshima yako baada ya msala kumalizika.



Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unataka kuwashia mwenzako moto Wa tipa. Kitanuka huko out mpaka jamaa atatafuta pa kukimbilia
IMG_20200518_213953.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akusaidie maana kwa maisha ya leo, mshika mawili moja umponyoka. Unaweza kumsaidia huyo mama wa mtoto wako lakini siri itafichuka tu na hapo ndipo utaona machungu. Wanawake hawana siri. Siku ukimkorofisha mama yake huyo mtoto wa pembeni, atatuma message kwa mkeo na utatamani ardhi ipasuke.

Ushauri wangu kuwa mkweli kwa wife wako na kumwomba msamaha, umchukue huyo mtoto ukaye naye.
 
[emoji23][emoji23] kwahyo ukimzalisha utafaidika na nini?
Lakn pia utambue kuwa hata mkeo pia anaweza kugegedwa vzr tu na akazalishwa huku ww ukijiamini kuwa ni watoto wako... Dunia uwanja Wa fujo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie siwezi kuingia kwenye ndoa na kujidanganya kuwa mke wangu hatagegedwa huko nje... Huo upuuzi siwezi kuweka akilini
 
Wanaume mnaowaambia wanawake watoe mimba kwa kweli cjui niwape jina gani,mnakua hamjatatua tatizo, maana hujui uyo anayetolewa angekua nani hapa duniani maybe angekua raisi, doctor or whatever sasa kwakuogopa binadamu mnzako unamfanyia ukatili uliyempa mimba atoe baada ya hapo unajisifu nakuona Upo sahihi sana, kitanda hakizai haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akusaidie maana kwa maisha ya leo, mshika mawili moja umponyoka. Unaweza kumsaidia huyo mama wa mtoto wako lakini siri itafichuka tu na hapo ndipo utaona machungu. Wanawake hawana siri. Siku ukimkorofisha mama yake huyo mtoto wa pembeni, atatuma message kwa mkeo na utatamani ardhi ipasuke.

Ushauri wangu kuwa mkweli kwa wife wako na kumwomba msamaha, umchukue huyo mtoto ukaye naye.
Duuuh
 
Wanaume mnaowaambia wanawake watoe mimba kwa kweli cjui niwape jina gani,mnakua hamjatatua tatizo, maana hujui uyo anayetolewa angekua nani hapa duniani maybe angekua raisi, doctor or whatever sasa kwakuogopa binadamu mnzako unamfanyia ukatili uliyempa mimba atoe baada ya hapo unajisifu nakuona Upo sahihi sana, kitanda hakizai haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo imani tu,binafsi sina muda wa kuzifikiria,mwanamke nimemtomba kashika mimba haeleweki ataitoa tu liwalo na liwe
 
Ulifanya kosa kubwa sana kutoa. Huwezi jua huyo mtoto angekuwa nani ktk maisha yako... Fanya mpe mimba nyingne mlee mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo demu wa Singida huko halafu mambo mengi sitaki kujipa stress Mimi liwalo na liwe na demu mwenyewe nishampotezea baada ya Mimi kuhakikisha hana mimba niliyompa
 
Back
Top Bottom