kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,644
- 19,038
Usipate tabu cha Kwanza mkatie bima pili wape taarifa nduguzo tatu,mfungulie bi mdada biashara itakayo mfanya awe nayo bize na baadhi ya mahtaji asikusumbue wewe nne subiri mtoto afikie umri wa miaka 5 au 6 ndio umwambie shemeji juu ya hiloKiufupi tu.
Ndugu zangu huwa mnafanyaje mnapojua kimada wa pembeni kapata mimba/kajifungua na mtoto ni wako? Sitaki kuona damu yangu hii inateseka wakati uwezo wa kuihudumia ninao, tatizo huwa mnafanyaje ili mke asijue na huku mtoto akipata matunzo yote ya baba?
Hapa najua nimemkosea sana mke wangu ni mrembo na ana kila kitu, lakini sihitaji mtu anilaumu kwa hilo, ni makosa yameshatokea. Wanaume nipeni mbinu ndugu zangu nini nifanye, mimi sihitaji kutelekeza damu yangu.
Binafsi nimenunua kiwanja nataka nimjengee huyu mtoto akaishi huko na mama yake, baadhi ya watu wamenishauri nisikurupuke kwa huo uamuzi, ushauri wenu wanaume wenzangu huwa mnafanyaje kwenye hali kama hii?
mbona una papara sana kwani mkeo hana mtoto ? mwanaume ni mtu wa mipango na utaratibu, kumbuka umeshakosea hivyo nenda mdogo mdogo kwa sasa mtoto hajui lolote bado. ukifanya papara utakuwa unapoteza pesa kwa huyo mwanamke tu. hakikisha huduma za msingi mtoto na mama yake wanapata mengine subiri kwanza.Ana 6months mkuu
another single mother registered.
Hakuna heshima baada ya uliyofanya. Hakuna uwezekano wa mkeo kukubali na kumlea mtoto?najua nimemkosea sana mke wangu, sikutegemea haya na nafanya kila niwezalo jamii inayonizunguka isijue hili ili kumtunzia heshima yake
Afu kesho atakuja na uzi wa kutukana single mothers.
Nafurahi sana kuona wanaume mnakua accountable kukubali kua nyie ndo kiwanda cha kutengeneza single mothers.
Kujulikana itachelewa ila watajua tu,
Ushauri wangu;
Tunza huo ujauzito na mwenye ujauzito, mpaka hapo itakapojulikana, na ukitaka muda wa wewe isijulikane na uchelewe na kama una uwezo fanya kujitoa endelea kumtunza Mama na mtoto mpaka hapo mtoto atakapofikia umri wa kusoma.
Mchukue kisha kamfiche mtoto shule za boarding na Mama yake asijue ni shule gani au unaweza kumwambia Mama yake kuwa unamchukua mtoto unampeleka mkoa mwingine kwa shangazi au Bibi, wewe utakua unaenda kumsalimia, kipindi cha likizo mtoto awe anaenda kwa Mama yake.
Zingatia kuwa kwa kipindi hiki kuwa karibu na huyo mjamzito ila sio kwenye simu, jitahidi simu yako iwe free kwa wife, kwa sasa na hata akijifungua usithubutu kumkaza papuchi maana utakuwa unaelekea kujimilikisha mke wa pili.
Nyambafuuu hayo ndo malipo ya uzizi.bilaa aibu una cheat mpaka mimbaa afu unatuambia mkeo anakila sifaa.deal na upumbavu wako
[emoji1787][emoji28][emoji1787]Kama ukitaka kujenga nyumba nitafute nikuchoree Ramani kijumba cha kishkaji cha vyumba viwili kisubule kidogo kajiko kadogo na parking ya gari moja tu. Ukijenga kubwa na parking kubwa utakuta midume inakuja kupaua mchepuko wako.
Halafu mruhusu huyo mchepuko aolewe yaani achana nae kimapenzi na usiwe na wivu nae deal na mtoto tu ingawa inaonekana huyo demu alikutegeshea maana haiwezekani umesubiri mpaka mtoto anazaliwa ndio unaambiwa wakati mngeweza kuiflash mimba kwa chupa moja tu ya K VANT
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]another single mother registered.
Ah wee muweke wazi mkeo mwambie nimegegeda huku nje na mtoto kapatikanaKiufupi tu.
Ndugu zangu huwa mnafanyaje mnapojua kimada wa pembeni kapata mimba/kajifungua na mtoto ni wako? Sitaki kuona damu yangu hii inateseka wakati uwezo wa kuihudumia ninao, tatizo huwa mnafanyaje ili mke asijue na huku mtoto akipata matunzo yote ya baba?
Hapa najua nimemkosea sana mke wangu ni mrembo na ana kila kitu, lakini sihitaji mtu anilaumu kwa hilo, ni makosa yameshatokea. Wanaume nipeni mbinu ndugu zangu nini nifanye, mimi sihitaji kutelekeza damu yangu.
Binafsi nimenunua kiwanja nataka nimjengee huyu mtoto akaishi huko na mama yake, baadhi ya watu wamenishauri nisikurupuke kwa huo uamuzi, ushauri wenu wanaume wenzangu huwa mnafanyaje kwenye hali kama hii?
Nipo hapa namuhurumia tu huyo mwanamke mwenzangu (mkeo), mana machozi yako karibu kuanza kumtoka, usaliti unauma jamani chaaa, tena usaliti wa mpaka kuletewa mtoto uuuwiii i feel so so sorry her