Super AMOLED
Senior Member
- Jan 18, 2020
- 160
- 230
Broo ungenyoosha tu mkono useme hujanielewa, mtoto hafichwi kama ambavyo umeelewa, pia jamaa amesema hataki mkewe na ndugu wajue, unadhani bila ya jamaa kutengana na huo mchepuko kuna nini!!!!Mtoto afichwe bila mama mzazi kujua, dunia ya wapi hii! Kwanza huu ni unyanyasi kwa mama mzazi mwenye haki zote na mwanaye, pili hili jambo haliwezekani dunia ya leo unless huyo ni mwanamke mjinga kabisa asiyeweza kujua wala kufuatilia nini kinaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app