macjay
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 371
- 409
da pamoja na ule uzi wa tumiaa condom lakini wapi !mzee niko kikazi mbali na familia yangu, sikutegemea kupata mtoto nje ya ndoa lakini ndio hivo sasa nawezaje kuitelekeza hii damu yangu isiyo na hatia

Naona JF siku hizi tumetembelewa na watoto wa facebook...............This is rubbish kufkiri mambo ya ndoa kwa wepesi hivo.Watu mlio tafutiwa wake wa kuoa mnatesaka na vivitu vidogo vidogo hiyo ni ishu ya kuleta kwa wanaumme wezio naona wewe sio lijali
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother.... watu hawajaona et kama wameona basi wanajitoa ufahamu!!!!!Hujafa , hujaumbika. Usitukane mamba hujavuka mto.
nahisi nikiwaambia wife atajua mapema, italeta shida kwenye familia... nimemkosea sana wife lakini sitaki wabaya wapate sehemu ya kuchochea moto, nataka liende kimyakimya kwanza
Kwani ulivyokuwa unatafuta mchepuko ulituomba ushauri!? Kwenye raha ule mwenyewe, kwenye matatizo ndo utushirikishe.Kiufupi tu.
Ndugu zangu huwa mnafanyaje mnapojua kimada wa pembeni kapata mimba/kajifungua na mtoto ni wako? Sitaki kuona damu yangu hii inateseka wakati uwezo wa kuihudumia ninao, tatizo huwa mnafanyaje ili mke asijue na huku mtoto akipata matunzo yote ya baba?
Hapa najua nimemkosea sana mke wangu ni mrembo na ana kila kitu, lakini sihitaji mtu anilaumu kwa hilo, ni makosa yameshatokea. Wanaume nipeni mbinu ndugu zangu nini nifanye, mimi sihitaji kutelekeza damu yangu.
Binafsi nimenunua kiwanja nataka nimjengee huyu mtoto akaishi huko na mama yake, baadhi ya watu wamenishauri nisikurupuke kwa huo uamuzi, ushauri wenu wanaume wenzangu huwa mnafanyaje kwenye hali kama hii?
Duuh unasema hivi wakati wewe juzi tu umetoka kuchepukaFicha mtoto kama ulivyoficha umalaya wako. Au mwanzo ulikuja kutuomba ushauri?
Sent From Galaxy S20 Ultra
Mkuu shukrani kwa huu ushauriUsitake sana kuonekana mkamilifu kwa mkeo. Kuonesha mapungufu ndio ubinadamu huo. Ujue kuanzia sasa perception yako kwa mkeo itabadliika ila isikupe tabu.
Usimwambie mkeo. Katika maisha lazima kuna mambo yakuweka Sirini kwako peke yako. Acha mambo yaende. Hata rumors zikisikika wewe zikane kabisa kwa nje lakini moyoni weka fika kwamba huyo ni mwanao.
Acha mkeo ajue kupitia rumors na akilileta kwako kwamba amesikia kataa kata kata kwamba siyo mwanao.
Unajua ukikataa hivyo nini mkeo atafanya? Ataendelea kukazia kuwa useme Ukweli kwamba huyo ni mwanao. This will be the right time ya wewe kusema Ukweli sasa labda baada ya miaka hata saba kuwa imepita.. atareact lakini atakuwa ashaizoea hali coz alikua anaisikia mara nyingi!!
Lakini ishu ya kwenda kama zwazwa kwa mkeo eti baby nimetia mimba Mwanamke nimezaa nae mtoto utaonekana unamuogopa mkeo na utampa sababu ya yeye kuwa na mawazo mengine hata ya kisasi.
Kwa hiyo buy time. Make time your friend. Acha ajue ikiwa too late.
Kamwe usiitoe Siri ya ya baraza isipokuwa kwa idhini ya Rais .
Sent from my iPhone using JamiiForums
kwan mtoto ana umri gani ? naona una haraka sanaa mkuuKiufupi tu.
Ndugu zangu huwa mnafanyaje mnapojua kimada wa pembeni kapata mimba/kajifungua na mtoto ni wako? Sitaki kuona damu yangu hii inateseka wakati uwezo wa kuihudumia ninao, tatizo huwa mnafanyaje ili mke asijue na huku mtoto akipata matunzo yote ya baba?
Hapa najua nimemkosea sana mke wangu ni mrembo na ana kila kitu, lakini sihitaji mtu anilaumu kwa hilo, ni makosa yameshatokea. Wanaume nipeni mbinu ndugu zangu nini nifanye, mimi sihitaji kutelekeza damu yangu.
Binafsi nimenunua kiwanja nataka nimjengee huyu mtoto akaishi huko na mama yake, baadhi ya watu wamenishauri nisikurupuke kwa huo uamuzi, ushauri wenu wanaume wenzangu huwa mnafanyaje kwenye hali kama hii?
Ana 6months mkuukwan mtoto ana umri gani ? naona una haraka sanaa mkuu
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Duuh unasema hivi wakati wewe juzi tu umetoka kuchepuka
But upo kwa ajili ya pesa sio?Sijaolewa so siwezi kuchepuka.