Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

Kujulikana itachelewa ila watajua tu,

Ushauri wangu;
Tunza huo ujauzito na mwenye ujauzito, mpaka hapo itakapojulikana, na ukitaka muda wa wewe isijulikane na uchelewe na kama una uwezo fanya kujitoa endelea kumtunza Mama na mtoto mpaka hapo mtoto atakapofikia umri wa kusoma.
Mchukue kisha kamfiche mtoto shule za boarding na Mama yake asijue ni shule gani au unaweza kumwambia Mama yake kuwa unamchukua mtoto unampeleka mkoa mwingine kwa shangazi au Bibi, wewe utakua unaenda kumsalimia, kipindi cha likizo mtoto awe anaenda kwa Mama yake.
Zingatia kuwa kwa kipindi hiki kuwa karibu na huyo mjamzito ila sio kwenye simu, jitahidi simu yako iwe free kwa wife, kwa sasa na hata akijifungua usithubutu kumkaza papuchi maana utakuwa unaelekea kujimilikisha mke wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu kashazaa ndugu na nashukuru kwa hili angalizo lako
 
Unamjengea huyo mtoto na mama yake nyumba sawa. Wewe ukiwa umelala na mke wako unategemea ni nani amtulize genye mama mtoto?

Ukisikia kuna kidume kinapumzika hapo kwenye nyumba uliyojenga usishikwe na hasira tafadhali.

Ukienda kumsalimia mtoto hutapasha kiporo kwa mama? Matokeo yake huyo mtoto atapata wadogo zake. Mke wapili huyo unae.
 
Mzinifu mwanaume/mwanamke apigwe viboko 100 ikiwa wote hakuna Alie katika ndoa kat yao
Na mzinif mwanamke/mwanaume Alie kwenye ndoa apigwe mawe madogomadogo had afe



Sent using Gun Trigger
 
Unamjengea huyo mtoto na mama yake nyumba sawa. Wewe ukiwa umelala na mke wako unategemea ni nani amtulize genye mama mtoto?

Ukisikia kuna kidume kinapumzika hapo kwenye nyumba uliyojenga usishikwe na hasiratafadhali.

Ukienda kumsalimia mtoto hutapasha kiporo kwa mama? Matokeo yake huyo mtoto atapata wadogo zake. Mke wapili huyo unae.
hii ngumu kumeza
 
nahisi nikiwaambia wife atajua mapema, italeta shida kwenye familia... nimemkosea sana wife lakini sitaki wabaya wapate sehemu ya kuchochea moto, nataka liende kimyakimya kwanza
Mchuma janga hula na nduguze....ulivyokuwa unafanya haukujua kama unatenda kosa na dhambi hivi inakuwaje na mnapata ujasiri gani mpaka unazaa nje ya ndoa mimi ni mwanaume ila hiyo dhambi ya kuzaa nje ya mahusiano rasmi siwezi kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchuma janga hula na nduguze....ulivyokuwa unafanya haukujua kama unatenda kosa na dhambi hivi inakuwaje na mnapata ujasiri gani mpaka unazaa nje ya ndoa mimi ni mwanaume ila hiyo dhambi ya kuzaa nje ya mahusiano rasmi siwezi kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu yangu ni dhambi kweli hata mimi sikupanga na kwa sababu imeshatokea siwezi kutelekeza hiki kiumbe
 
Simple sana hii,

Mchukue wife mtoe out mbali huko, muende ijumaa lengo liwe kurudi jumapili jioni, ijumaa hiyo hiyo usiku, mwambie "mke wangu, nimekukosea na nipo hapa kukuomba msamaha" atakuuliza kosa gani? Mwanamke kiufupi hivi "nimekucheat na bahati mbaya nimesababisha mimba" then utasolve kwa kadri atakavyoreact, usiku wote utumie kumbembeleza na neno lako ni moja tu "nisamehe mke wangu", usiku huo atabwabwaja sana, au kulia or vyovyote, wew neno lako ni lile lile "nisamehe mke wangu", kadri muda unavyokwenda atakubaliana tu na ukweli.

Then, jumamosi unaendelea kuomba msamaha, jitahid kuact hata kulia, kupiga magoti. ATAKUSAMEHE TU.. wanawake wakioneshwa bila yeye huwezi wanaonaga raha sana wanasahau kila kitu, then baadae utajua mwenyewe jinsi ya kurudisha heshima yako baada ya msala kumalizika.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimnunulia boda mahesabu ni kwa ajilinya matunzo ya mtoto...kwa mwezi ni kama kilo 2, akifikisha 5 yrs now ana 3yrs watapata bajaji 2 mama yake anasimamia.. Ila pia nilimfungulia account bank nikipata vijisenti namuwekea kwa sasa ninaimonitor mm. Hakuna MTU mwingine yoyte anayefahamu zaidi ya mama yake na mm.. Likifumuka mbele ya safari nitajua namna ya kusolve.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimecheka hapo mkeo ni mrembo na ana kila kitu, ila bado mb oo ambayo hata robo kilo haifiki inaongoza jibaba lenye kilo 60+ na kushusha akili zote kwenda kuleeee chini

duh kazi unayo
 
Umjengee unamwoa?

Umjengee uanze kumgandaganda asibanjuliwe na wengine hata kuolewa?

Hiyo ni changamoto ya Kila leo Kwa wanaume, single mothers unafikiri wanazaa na Nani?

Mkeo atajua Tu, Hilo halina ubishi, ni suala la muda. Kwa SASA lipotezee hata usiliwazie. Tafuta ndugu mmoja ambaye ni raafiki yako umpe huo mchongo

Matunzo ya kiasi, bima ya afya, shule n.k.

Punguza mawasiliano na huyo mzazi mwenza, mweleze bayana humwoi, wala huongezi mtoto, usimgonge tena. Safari za kumwona mtoto ziwe chini ya mara nne Kwa Mwaka.
 
Back
Top Bottom