DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,536
- 1,998
kabla ya maamuzi yoyote yale fanya juu chini usimkaribie wala kuonyesha kama unajuah halafu ya nini kumpiga risasi tafuta mkewe, mtoto,, shangazi dada na wewe piga tena mpe na mimba....ukiua mkeo atadanganywa tena bora kuwa malaya kuliko kutoa uhai wa mtuHabari,
Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.
Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.
Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.