Nimemjua kijana anayemdanganya Mke wangu

Nimemjua kijana anayemdanganya Mke wangu

Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
Auaye kwa upanga atakufa kwa upanga.
Hata huyo mkeo atakuua kumlipizia kisasi mtu aliyempenda kwa dhati.
Uchaguzi ni wako kufa kwa ajili ya mtu asikupenda au utafute anayekupenda uishi kwa amani.
 
Yaañ kuumiza kichwa na mwañamke ambaye hukumkuta bikra ni ujinga tu!
 
Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
Usitafute kesi.Bora kumuacha huyo mke,uishi kwa amani.Wanawake wapo wengi.
 
Na.awaelewa wakuba wezangu.endereni kunishauli kabrasijafanta mamuzi.na keshokijana wa gundo hanaodoka kuludikwenye muji wa.ke nami.sitokuwepo jambfolam
Daaa ndo umeshadata kmmk
 
Kuna mtu alituambia kuna project ya kataa ndoa inaendelea kwa udhamini wa watu wenye nguvu kifedha. Inawezekana ni kweli nn? Maana huu si mwandiko wa mswahili.
 
Na.awaelewa wakuba wezangu.endereni kunishauli kabrasijafanta mamuzi.na keshokijana wa gundo hanaodoka kuludikwenye muji wa.ke nami.sitokuwepo jambfolam
Kaka, fanya kama vile inasemekana Mkandamizaji alivyofanya. Kuua sio poa. Kodi wati wakafanye yao.
Wakijiuza wapo wengi. Kwa nini aje kwa mkeo? Mshughulikie kwa namna ya kukomesha na sio kuua.
 
Ukitaka UA mtu wa hivyo hupaswi tumia watu kufatilia.

Kwenye swala kama hilo ilitakiwa wewe peke yako uchunguze bila wanaochunguzwa kujua,
Tafuta ushahidi bila wao kujua
Tengeneza mpango kazi wa jinsi ya kuua au kuumiza ila wewe usihusishwe kwa namna yoyote ile.
Jua adui yako anapendelea nini, kama ni pombe basi mchanganyie pombe na valium pamoja na viagra mg 500
Nenda kalale uachane naye, kesho utapokea majibu.
 
Ndo mnacho kiwaza watu, afu kutwaa kupinga ushoga lol.
Hatuui wagoni wetu siku hizi, kwangu mimi mgoni wangu nikmkamata wala hatufiki mbali namfanyia alichomfanyia mke wangu na mke namuachia. Huo ushoga ni wako wewe.
 
Achana na uyo kijana...deal na wife wako ndani. Unapeleka [emoji91]vyakutosha?? Mipunga unayo?? Kama jibu sio,jikite kwenye hayo mambo mawili kwanza.
 
Ila vijana hua tuna ujasiri sana na vitu vya hovyo, yani wanawake wa chuo wamejaa kila kona ya nchi jumlisha na hawa ma-jobless walio maliza vyuo alafu unafata mke wa mtu? Mara jamaa akuundie tume ya wahuni wakukamate wakutatue marinda utawaambia nini watu?
 
Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
Tatizo ni mkeo
Utauwa kijana wa watu bure ufungwe. Wanawake ni wengi kuliko wanaume, take note and thank me later
 
Pole sana, hivi wanawake wote hajawaona hadi asumbue mke wa mtu? Piga Risasi ya kiuno ili asile tena wake za watu
 
Back
Top Bottom