Nimemjua kijana anayemdanganya Mke wangu

Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
Mtumie ujumbe aache kumwambia uongo bali amwambie kweli
 
Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
Utaua wangapi,kumbuka ukimuua huyo mkeo anapata mchepuko mpya.
 
Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
Huyo mke nae ni Chenga
 
Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.
Huyo kijana anamdanganya tu au anamla?!
Kama kudanganya tu mbona hakuna shida?
 
Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
Muache mke jwa amani aondoke kwenye maisha yako.

Ukiua hautasaidia kitu maana itabidi uue mabachela wote JF ili mkeo asichepushwe.

Jifunze kuachilia nafsi yako usiweke mazonhe yanayozingua.

Jifunze kwangu
 
Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
Kijana unamuonea tu, wakupiga rusasi ni mke wako s ababu hakuna tendo la ndoa linalofanikiwa bila mwanamke kuridhia
 
Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
Ukimpiga risasi, utapelekwa jela! Halafu mke wako ataolewa tena na raia mwingine. Hivyo utakuwa hujatatua tatizo.

Kaa chini na mke wako myamalize kwa amani. Ukiona habadiliki, achana naye; halafu uanze maisha upya.
 
Piga chini mke, Mbona Papuchi zimejaa nyingi tu. Utamsahau

Utaua utaishia jela, mkeo ataendelea gongwa uraiani.
 
Back
Top Bottom