saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,879
- 2,860
Kabisa point nzuri, ushauri wa nguvu.Mke wako ndio amemkubali huyo kijana akuchanganye na wewe,kwahiyo weka risasi pembeni.
Mwache mkeo kiroho safi kwa taratibu za kisheria uanze maisha upya uraiani kuliko kuanza maisha upya jela au ahera.