Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Nyie mnaosemeaga nafsi za wenzenu ndo huwa mnafanywa vibaya, we sema tu unampenda sio mnapendana
na hilo swala la kumegwa ni Siri yake mwenyewe usiconclude kuwa hafanywi
huyo co-worker kama hali basi yupo mbioni kula.
Si unajua tena mambo ya vijana bhana, siku hizi haya maeneo matamu mmeyapa majina mengi bhana!
what to do next
IFANYIE VIPIMO GEGEDO LAKE
PIMA UKUBWA ULIOKUWEPO TOA KWA ULE WA AWALI
kama jibu ni 0 mpe papuchi kama jibu ni_ negative basi guve him papuchi at ur own risk
Ukianza kujiharishia kitandani ndo utaiona hasara na utajua hiyo inakuhusu asilimia zote....!!!Hivi katika hali ya kawaida kabisa mpenzi wako akienda kubandua/kubanduliwa wewe una hasara gani???
Kama sio kujichosha tu na matatizo ya binadamu mwenzio
Me wangu wamfanyie tu full makamuzi aka Switch ON , Papuchi ni yake.
In this world nothing is certain than Tax and Death.
pole sana ndugu yangu na karibu sana kwenye dunia ya mapenzi. Napenda nikutaarifu kuwa mpk hapo ulipogundua mpenzi wako ameshatembea na huyo jamaa, haiwezekani katika hali ya kawaida akamtumia picha kama hiyo co-worker ambaye hajatembea nae kwani itakuwa aibu kwake ofisini huyo jamaa akionesha picha kwa wengine. Ila kwa kuwa ameshatembea nae na ana uhakika nae (love security) ndio maana anamtumia picha kama hizo.Nimemsamehe kabisa..
na najua upendo utarejea intime
Ila kama kaweza kutuma picha ..
Dah yani hofu ya kuchapiwa sasahivi ipo juu balaa yani sijiamini kama awali..
Nashindwa kukuelewa, kwani mlalamikaji ni ke au Me; Labda apime papuchi yake.what to do next
IFANYIE VIPIMO GEGEDO LAKE
PIMA UKUBWA ULIOKUWEPO TOA KWA ULE WA AWALI
kama jibu ni 0 mpe papuchi kama jibu ni_ negative basi guve him papuchi at ur own risk
mkuu siku hizi wanakula na manyoya hutaona kitu wala dalili, hao watoto wanaojifunza ndio wanaacha manyoya.
Nashukuru sana na ndiyo nataka kufanya hivyo..maana in 5years this is the biggest mistake ashawahi kufanya..
Apo nyuma hakuwahi kunikosea hata