Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

Naombeni ushauri wa haraka jamani.

Nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.
Khaa!! Watu wengine wanakutana na fursa wanaziacha! Hivi umewahi kula tunda jikoni? Au unataka hadi akwambie? Changamka bana usije kuchapiwa ukaanza kulialia tena
 
Naombeni ushauri wa haraka jamani.

Nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.

Mmh huyo ananifaa maana hata mm nikiwa home huwa nakaa uchi hadi nikiwa sebuleni. Ni maamuzi tu.
 
ungeweka picha ningekwambia alikuwa anamaanisha nini
 
Whoa ! ulikuta chakula anapika chakula, i thnk ungeanza kula kile kilicho tayari kimewekwa mbele yako basi..USIULIZE:A S shade:
 
.....anahamishia utamu wa papuch n misosi huenda unapenda sana kula bar mkuu
 
Eei nyie ndo mnaamini kukaliana uchi ni mpk chumbani kitandani saa nne usiku watoto wakiwa wamelala taa ikiwa imezimwa
 
Mjanja sanaaaa huyooo kaamua kufanya hvyoo ili aone ka utaanza na desert au salad dah una bonge la wife weweee ila hujijui na umbea wako ukakimbilia huku ukidhan unalogwa
 
Naombeni ushauri wa haraka jamani.

Nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.

Ni Mke,? Mkuu hapo umepatikana. Thanks God umeona mapema.huyo atakua kigagula ama ndo anaanza uwanga. Be aware unaweza usitembelewe hata na Ndugu hapo baadaye .

Ulipaswa kumchapa makofi. Bila kuharibu reception yake . kisha weka marufuku aina za mashoga zake ikibidi mama mkwe ambako unahisi anapata ushauri wa kigagula kutoka kwao.
Be realistic..
 
Back
Top Bottom