Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
I uuuuuh khaaaaa.[/QUO
tedywite hivyo huwa vinakuwaga vitamu balaaa jaribu one day utaona
I uuuuuh khaaaaa.[/QUO
tedywite hivyo huwa vinakuwaga vitamu balaaa jaribu one day utaona
Hujamuelewa mleta mada,mkewe Alikua anapika chakula sio uchi!joto ndo upike uchi??
Hujamuelewa mleta mada,mkewe Alikua anapika chakula sio uchi!
Wewe hamnazo..Hujamuelewa mleta mada,mkewe Alikua anapika chakula sio uchi!
sidhani kama ni tatizo kwa mimi navyoona
I uuuuuh khaaaaa.[/QUO
tedywite hivyo huwa vinakuwaga vitamu balaaa jaribu one day utaona
Sawa
Ulileleea vibaya wewe. Mwanamke anayejitambua hawezi fanya huo ujinga labda awe hazimtoshi.
KWani hamuaminiani na mkeo??au mna tatizo lolote linaloweza kupelekea kumhisi vibaya??
yawezekana ni mapozi tu binafsi hua najikuta nafanya shughuli za nyumbani nikiwa na kichupi na brauz au tshrt
raha ya kukaa ndani kama mko wawili mr & mrs inabidi muwe uchi wa mnyama, mimi huwa napenda sana, kama hakuna wageni au watoto, napenda niwe uchi wa mnyama niwe nijimwayamwaya na kaubaridi ka EC kuna raha sana.
Naombeni ushauri wa haraka jamani.
Nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.
Naombeni ushauri wa haraka jamani.
Nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.