MAHENGE JR
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 497
- 637
mambo ya limbwata hayo boy ucpokuwa makini,:bange:utafanyiwa kitu mbaya na huyo mkeo
au labda alikuwa anakunya akasikia mboga inaungua jikoni akaamua atoke mara moja, kweni hakuenda chooni tena kumalizia mavi?
Naombeni ushauri wa haraka jamani.
Nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.
Acheni kushabikia ujinga. Wengine wanaenda kwa waganga wanawambia ivo. Wala sio mahaba. Bora angekuwa na kanga tuu.
Kuna story furani nishaskiaga mganga kamwambia avue mbele ya sufuria ya chakula atawaze na hayo maji ayapikie chakula be carefull
Si ungemuuliza yeye kwanini anafanya hivyo?
hiyo ndio shida ya mabinti zentu kuwaoza wabara,, kupika uchi ni mahaba adhwimu... Wawapi huyu
ndo swali LA kwanza nililomuuliza.alinijibu "samahani mme wangu"akaenda kujifunga nguo
Msumeno kama una binti nitaarifu.Nitakuja kisiwani tuongee.Natafuta mke