Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

Kama alikuwa anapika pilau umekwisha hilo ni limbwata baya sana
 
Mhh labda mapozi au ushirikina
Hakuna ushirikina hapo . Unakata unakunja unajihija hadi chakula kiungue..
Mnaletewa mahaba afu mnalalamika. Nfmyie ndio siku mke wako akilunyonya adi zimeze mnakuja kuanzisha thread wakati hayo ni mambo ya kawaida tu.
 
Ulileleea vibaya wewe. Mwanamke anayejitambua hawezi fanya huo ujinga labda awe hazimtoshi.

Niko kwangu! tena mwenyewe na mme wangu nishindwe kujiachia kisa nini??!
Hata maza wako huenda alikua anafanya hivyo wakati hajakuleta duniani na ndugu zako.
mambo ya kawaida sana hayo...tatizo wewe na ushamba wako na mbaya zaidi kujifunza hutaki.
 
Chakula kinakua kitamu, ni wengi tunafanya hivo japo ye kazidi
wengine twavaa madera bila vyupi
usiwaze.....
Kuanzia leo naanza kumchunguza mke wangu aisee. Ndiyo maana wachawi wengi huwa ni jinsi ya kike.
 
ningekuwa mie ningekula kwanza kimoja cha fasta kabla ya ubwabwa haujapakuliwa
 
Niko kwangu! tena mwenyewe na mme wangu nishindwe kujiachia kisa nini??!
Hata maza wako huenda alikua anafanya hivyo wakati hajakuleta duniani na ndugu zako.
Kwa hiyo ni tabia ya wanawake wote kukaa kupika uchi siyo?
 
Niko kwangu! tena mwenyewe na mme wangu nishindwe kujiachia kisa nini??!
Hata maza wako huenda alikua anafanya hivyo wakati hajakuleta duniani na ndugu zako.
mambo ya kawaida sana hayo...tatizo wewe na ushamba wako na mbaya zaidi kujifunza hutaki.
achananae mama wa toto, mi mwenyewe mali mwenyewe nimeridhika na vichupi vyako, sasa kelele za nini tena?
 
Muulize afu tathimini majibu yake hapo utagundua lengo lake kutokana na maijbu yake
 
Mimi nimewah kuishi na mwanamke wa kipemba kwa miaka 7, siji kusahau yale mahaba.
Alikuwa akivaa chupi tu anavyodeki, tukiwa tunakula kuna mkao wake lazima macho yangu yalenge kwenye k yake mana halikuwa havai chupi wakati wa kula na mimi. Tuachen ushamba wanaume
 
​
Somewhere-a-village-acd8io.jpg
 
achananae mama wa toto, mi mwenyewe mali mwenyewe nimeridhika na vichupi vyako, sasa kelele za nini tena?

hajui mahaba huyo na huba,
Ye anataka hadi usiku kitandani tena mpaka taa izimwe ndo waanze kutafutana.
 
Back
Top Bottom