Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

KWani hamuaminiani na mkeo??au mna tatizo lolote linaloweza kupelekea kumhisi vibaya??
yawezekana ni mapozi tu binafsi hua najikuta nafanya shughuli za nyumbani nikiwa na kichupi na brauz au tshrt

Duhh,, n njema hyo!!!
 
mpeleke mahakamani akashtakiwe maana kipindupindu kimeshaingia dar
 
Acha uoga mkuu anaongeza hamasa ki namna hiyo,kwanza mara ya mwisho lini mambo yetu? Ndo "wapogo" hivyo jiongeze.
 
Wanaume wwnyewe mnapenda.
mimi mpenzi wangu alikuwa anataka muda wote nikiwa ndani niwe uchi wa mnyama nipike uchi nifue uchi kila kitu.

1440829573295.jpg
 
Back
Top Bottom