Nimem-miss faiza foxy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimem-miss faiza foxy

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by SALOK, Feb 13, 2012.

 1. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Huyu member kapigwa ban, sijui ni ya muda gani ila ukweli nimemmiss sana, hii ni kutokana na misimamo yake mikali pale anapoamua kutetea kile anachoamini, ki2 kinachopelekea mjadala kushiba data na hoja za nguvu kutoka kambi ya utetezi! Ila nina wac wac na id hii "jane_000."
   
 2. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  FF ni zaidi ya noma!mmoja kama elfu moja!
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Yule ni jeshi la mtu mmoja....

  Hata mimi namuaminia kwa sana...
   
 4. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  hakika ff ni jeshi la mtu mmoja hapo umenena mkuu! Jukwaa la siasa litapooza sana siku hizi
   
 5. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ff ni mkali sio mchezo,ila utampata kwa id hii mpya JF BAN 01,siko sure na spelling lakini.
   
 6. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ngoja nikamfungulie thread jukwaa la great thinkers! I miss her so.....
   
 7. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  FF popote ulipo jua nimekumiss sana!tena sana!kimtaani ningekuita JEMBE a.k.a MNYAMA kiboko ya mapimbi!MZAZI WA WAZAZI!!!MKALI WA TOWN!!!
   
 8. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hata hiyo imepigwa ban siku hiyo hiyo iliyoruka hewani!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Ni pigo kubwa tumepata wana JF FaizaFoxy. Kapigwa BAN ya maisha tumuombeeni kwa wadau wa JF wafungulie.
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  I'm quite happy ! Anakera sana huyo kiumbe. Thanks Mods
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  ha, ha, itabidi atumie foxyfaiza.. Hii mod hawawezi kuishtukia.. Teh! Teh!
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  FF ni kilaza tu,haiwezekani uwe unakula ban mda wote!!!
   
 13. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  SIO KWELI MKUU, Ff NI JEMBE. ILA NINA SHAKA UHUSIANO WAKE NA MODS, MBONA KUNA WATU HUMU WANAMWAGA MATUSI LIVE HAWAPIGWI BAN? NAOMBA MODS WAMFUNGULIE ILA WAMPE ONYO KALI..!! HAKUSTAILI BAN YA MAISHA.
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Vilaza wanapendana sana! Huyu FF apoteee tu
   
 15. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  tumekuona kama upo!!una lingine?
   
 16. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ff yupo,mzima na anaendeleza mapambano kwa silaha nyepes nyepes huku akiwa amebadirisha gwanda(ID yake)
   
 17. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Duuh..!!!.....Bi-Mkubwa amepigwa ban?.:A S 13:.. Ndio maana simuoni siku hizi. Amefanya nini tena?.
   
 18. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  [​IMG] FaizaFoxy Yesterday 16:48#18 [​IMG] JF Premium Member Array  [​IMG]
  Join Date : 13th April 2007


  Posts : 11,477

  Rep Power : 26088
  Hatters
  MTM likes this.


  Pedagogist at Heart.

   
 19. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Me nawashauri mods waache uvivu wa kufikiri na kuacha kufanya kazi kwa kusukumwa na watu wenye mtizamo fulani wa kiimani! kosa kubwa analolalamikiwa ff ni udini lakn kumbe kuna watu humu wanaudini zaidi ya ff.
   
 20. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  katika watu wa magamba hapa jf faiza ni kichwa chao, watu kama rejao,ritz1,rejao,halafu kuna mmoja alikuwa anitwa mzee sijui yuko wapi,malaria sugu etc, wote hawa ni mbukwa,mabox tupu, weupe sana kichwani. Da faiza sometimes anakuwa mmekweli kwa jambo analoamini ni kweli hata kama linagusa maslahi ya magamba, atleast she is postive to some issues ikilinganisha na wengine ambao muda woooote ni ushabiki tu. Kuna wakati anaandika comments kila mtu anashangaa anabaki anajiuliza huyu ni ff kweli au kuna mtu kaiba id yake? I miss u dada.
   
Loading...