Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
- Thread starter
-
- #141
asante sana na mungu akubariki.just close ur eyes & feel the bluish white rays of healing coming from god & pretend that u r b'come better & better every moment,get well soon dear angel m.
Nitaongea na Amy, wanawake huwa hatufanyi hivyo! Alafu na we ebu nenda nyumbani, ili mkajumuike wote!! Wewe ndo uwe unasaidiana na mkeo, Kaizer ye za kwake stori tu tena uongee nae wewe mwanaume mwenzake Amy usimuachie saana......wataishia kukonyezana kwa herufi kubwa hao!!! L.O.L
ahsante sanaUgua pole dada mpendwa,Mungu atakusaidia and real nakuombea kwa kweli uje huku kwenye mapambano
Asante shemu wangu,ndio ivo tuombeane tu,
Msalimie sana Amy,mwambie nammiss sana lol!
Amy hivi hujamuona SweetLady mahali maana naimewamiss na familia yake....hahahah message delivered mwaya!
hahahaa nikisoma post zenu napona bila dawa, MUNGU AWABARIKI SANAHahahaaaa sawa.....Vipi maendeleo kwa sasa maana tumeshasahau km unaumwa tena coz mgonjwa mwenyewe anaongea utadhani mzima......hata hudeki????? Lol
Teh teh hata sisi tunafurahi kuona unaendelea vizuri......hahahaa nikisoma post zenu napona bila dawa, MUNGU AWABARIKI SANA
hahahah message delivered mwaya!
asante sana Bishangapole sana mama,ugua pole.
asante sana KongoshoPole, wish you a quick recovery.
asante sanaPole sana binti.
nashukuru sana na Mungu akubariki sanaPole sana Dada Angel! Mungu akujalie upone haraka.
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......
Asante Kipipi kwa kumpatia wifi yako kitchen party ya faster...Nashukuru kwa kunielewa Amy
Asante Kipipi kwa kumpatia wifi yako kitchen party ya faster...
Uje nikupe zawadi ya pipi eeeeh
Sawa utashangaa surprise tunakuja wote.....Undugu kufaana Erick, mpe Amy nitamuelekeza aniletee!!!