Halafu bby mbona Kaizer km simuelewi elewi....halafu ana haraka...
Mwambie atulize munkari kidogo umalizie utamwita....sawa bby eeh
Kidogo tu jamani ili ale...
Ila amenambia yeye yuko fit sana kwenye kula na anapoumwaga appetite ya kula huwa juu sana hadi anajishangaa
Nahisi km tutaambatana vile lolhahahaha...B52 bana unataka kwenda hospitali na siye? maana zamu yako ilikuwa asubuhi...ila kurudia inaruhusiwa ilimradi mgonjwa apate faraja
Hata ingekuwa kidogo tu, sio vizuri jamani!! Alafu mmemtisha mwenzenu ndo maana ameamua tu aseme ana appetite!!!
Sina haraka Amyner...si ntakuwa nawatch series kidogo wakati nasubiria kuonja au unaonaje.....usije ukaniambia utapenda nikusaidie jikoni....
dah......shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kipipi vipi tena....
Sina haraka Amyner...si ntakuwa nawatch series kidogo wakati nasubiria kuonja au unaonaje.....usije ukaniambia utapenda nikusaidie jikoni....
Teh teh Kipipi una huruma eeh
Sawa ngoja tuone km kasema kwa shinikizo....
dah......shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Si wewe hapo ndo unamtisha mgonjwa, unadhani kuumwa mchezo eeh? Mie mwenzako sipendi kumuona mtu akiwa hana raha, we mwenyewe ukiugua Erick huwa unajisikiaje mpendwa?? Alafu mtu aje kukufinya kweli!!!
Anaushangaa huo ushemeji wako kwa Amy....
Unanichokoza eeh
Jamani kipipi.. Hata wewe una doubt?
Kipipi vipi tena....
Jamani kipipi.. Hata wewe una doubt?
Hahahahaaaa nikiumwa ntakuita uje umsaidie Amy kuniuguza....hope ntapona faster