Nimelazwa Kcmc

Nimelazwa Kcmc

Pole sasa mdau...... inaelekea si serious sana ndo maana umeweza kurusha uzi. Uko wodi gani nikuje hapo kukuchum? Halafu, umelazwa na laputopu yako au unatumia simu ya mchina? Kama ni ujauzito, Mungu akujalie ujifungue salama. Kakizaliwa kadume kaite PAW kakiwa kademu kaite AshaDii. Sawa eh?:crazy:
umenifanya nicheke, nilivyolazwa juzi nilikua very serious wala nilikua sijitambui ila namshukuru Mwenyez Mungu na madaktari kwani sasa naendelea vizuri, nitamshauri Flora Msoffe amwite mwanae PAW
 
umenifanya nicheke, nilivyolazwa juzi nilikua very serious wala nilikua sijitambui ila namshukuru Mwenyez Mungu na madaktari kwani sasa naendelea vizuri, nitamshauri Flora Msoffe amwite mwanae PAW
Hivi wewe na Flora mmechangia baba au babu?

Msalimie sana. Au kama vipi mwambukize hako kamimba.
 
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......

pole sana Angel, utapona tu. Mwenyezi Mungu atakusaidia.
 
Jitahidi kufuata maelekezo daktari na Mungu alete wepesi wake kwako.
 
Jamani Angel...pole mwaya! Ningekuwa karibu ningekuletea japo kaApple walau uboost afya dear lolz!! I wish you a quick recovery chipenzi.....Mungu akulinde!!!!
 
Back
Top Bottom