Nimelazwa Kcmc

Jamani Angel...pole mwaya! Ningekuwa karibu ningekuletea japo kaApple walau uboost afya dear lolz!! I wish you a quick recovery chipenzi.....Mungu akulinde!!!!
asante sana kipipi, dua zako zatosha kabisa kunifariji, ubarikiwe sana
 
Pole sana dear,
utapona kabisa.Kumbe uko mkoa wa wapambanaji hiyo itakusaidia upone haraka
 
Mi mzima kaizer, habari ya weekend?

weekend poa Amy...ya kwako vipi? twende kumwona mgonjwa mchana? uandae mtori, manake naona dogo E52 yeye anapeleka matunda. Kuna sijui nani amesema atapeleka ma apple.
 
weekend poa Amy...ya kwako vipi? twende kumwona mgonjwa mchana? uandae mtori, manake naona dogo E52 yeye anapeleka matunda. Kuna sijui nani amesema atapeleka ma apple.

Teh ila wewe hukawii kumpelekea mbege mgonjwa...itabidi nimwambie Amy awe makini na maandalizi yako...
Mwambie na Bagah asisahau kumpelekea mgonjwa bagah maana anazipenda sana....
 
Pole sana Malaika se msofe, Mungu akupe afya njema mapema na kukupa amani yake , urudi kulitumikia taifa letu

Pole sana
 
Back
Top Bottom