Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

@manuu
hebu kuja hapa ujibu hoja iikuwaje.
Unantania kabisa, nina mastaz ya umbea.
Hapa maini yashasimama kwa kupokea taarifa ya kamati.
Kongosho nasema hivi, nikieleza yaliyojri hautaniamini nianchofanya sasa hivi hapa namalizia ku-edit movie yenye title ya ''JINSI YA KUSHINDA VISHAWIZI UKIWA NA MSIMAMO".Ntaileta hapa very soon ili wote waliosema haiwezekani wajue hakuna kisichowezekana ni akili na malengo yako tu.
Stay tune.
 
Ha ha haa ili uweze kuuza zaidi nashauri utengeneze Episodes tano (day 1, day 2, day 3 mpaka day 5); mauzo yakiwa mazuri unaweza ukatoa bonus mbili; (yaani life before kishawishi) na (life after kishawishi)
 
kitendo cha kuvuliana na kulala kitanda kimoja na kujifunika shuka moja tayari ni kuzini na ku-cheat mkeo......ondoa porojo zako hapa ..hizi habari kawasimulie mahanithi
 
Kongosho nasema hivi, nikieleza yaliyojri hautaniamini nianchofanya sasa hivi hapa namalizia ku-edit movie yenye title ya ''JINSI YA KUSHINDA VISHAWIZI UKIWA NA MSIMAMO".Ntaileta hapa very soon ili wote waliosema haiwezekani wajue hakuna kisichowezekana ni akili na malengo yako tu.
Stay tune.
.
Yaani wewe Manuu, umewaweka watu pending muda wote alafu unakuja kuibuka siku ya mwisho?! .... haya bwana tunasubiria hiyo movie yako
 
ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.
ukiza mtoto ukamwita "a" shuleni ataitwaje??
 
Kongosho nasema hivi, nikieleza yaliyojri hautaniamini nianchofanya sasa hivi hapa namalizia ku-edit movie yenye title ya ''JINSI YA KUSHINDA VISHAWIZI UKIWA NA MSIMAMO".Ntaileta hapa very soon ili wote waliosema haiwezekani wajue hakuna kisichowezekana ni akili na malengo yako tu.
Stay tune.

uneweka update kwenye post yako ya mwanzo ass hii thread imepata interest sana na watu watapenda storry iliishaje. just edit post au ukiandika ingine weka link hii kuwa inaendelea ijulikane umetoka wapi.
 
Inawezekana hata sishangai ila mkisharudi usijaribu hata kuingia tu chumbani kwake: imemtokea rafiki yangu.
 
Kongosho nasema hivi, nikieleza yaliyojri hautaniamini nianchofanya sasa hivi hapa namalizia ku-edit movie yenye title ya ''JINSI YA KUSHINDA VISHAWIZI UKIWA NA MSIMAMO".Ntaileta hapa very soon ili wote waliosema haiwezekani wajue hakuna kisichowezekana ni akili na malengo yako tu.
Stay tune.
Kumbe ilikua ni movie??
Mi nlifikiri kweli
 
manuu, haya nasubiri kwa hamu.

Mie nilidhani mkeo kishajua na kakuomba uandike urithi kwa hiari.

Unafaa kwa kurusha roho.

Kongosho nasema hivi, nikieleza yaliyojri hautaniamini nianchofanya sasa hivi hapa namalizia ku-edit movie yenye title ya ''JINSI YA KUSHINDA VISHAWIZI UKIWA NA MSIMAMO".Ntaileta hapa very soon ili wote waliosema haiwezekani wajue hakuna kisichowezekana ni akili na malengo yako tu.
Stay tune.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haa ili uweze kuuza zaidi nashauri utengeneze Episodes tano (day 1, day 2, day 3 mpaka day 5); mauzo yakiwa mazuri unaweza ukatoa bonus mbili; (yaani life before kishawishi) na (life after kishawishi)

Anaitunga huyo, ili kuua so; maana kilishasanuka watu wamjua na yule mmama. So lazima aiweke in a way kwamba ineutralize damage iliyofanyika!

And what if huyo mama naye ni member humu?
 
Kongosho nasema hivi, nikieleza yaliyojri hautaniamini nianchofanya sasa hivi hapa namalizia ku-edit movie yenye title ya ''JINSI YA KUSHINDA VISHAWIZI UKIWA NA MSIMAMO".Ntaileta hapa very soon ili wote waliosema haiwezekani wajue hakuna kisichowezekana ni akili na malengo yako tu.
Stay tune.

Hiyo soon ni miaka mingapi
 
Hii inawezekana katika ulimwengu wa mwili lakini katika ulimwengu wa roho inawezekana, dhamira haikupi kutamani wala kutenda dhambi.
 
Fiction hii. Maantiki ya kujifunika shuka moja ni ipi?? Kwani mlipewa shuka moja tu?? Hamna kitu hapa. Unafictionalize tu.
 
mke wako akisikia atasikitika sana, wote mna budget za kuhire chumba then huyo mwanamke amekudanganya mlale chumba kimoja kitanda kimoja eti tunasave na we ukakubali!!!! hiyo ni staili gani ya kusave? utu wako na heshima yako ni kubwa kuliko hiyo pesa unayoitetea usikute mmeshamaliza kila kitu hapa unatuzingua tu, kama bado nenda katafute chumba ukae peke yako.
 
Back
Top Bottom