Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

amu haya sasa masihara
 
Last edited by a moderator:
manuu tupe ripoti basi mpaka sasa nini kinaendelea?
Au ndo umenogewa?
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa mimi ningemkula huyo,tena si kidogo.

Unadhani uatawala wangapi GABOO?!!!

Acha kutuzingua

Huyu njemba anatutania kweli,hivi kweli one bed with someone who beatfull??,labda kama huyo demu ni dume la mbegu!!!!!!!!!!!!!

Fanya hivi,kata naye kiu ila it's btn u n' i,don't ever tell anybody in the forum just pm me and nifahamishe how it was.

We mdanganye halafu hayo majibu atakupea wapi kaka?,kama ni humu jamvini imekula kwake.

hata kama hamtafanya chochote lakini amin nakwambia itakukost badae.

Sidhani kama hilo analijua!!!!!!!!!!!!!!!!

yaan mpaka semina iishe najua na mimba itkuwa imepatikana!

Kwanza hebu angalia sasa hivi wanafanya nini,hebu ona!!!!!!!!!!!!!!

Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.

Kaka mi naona unabip FIRE!!!!!!!!!!!
 
kwangu ingekuwa ngumu sana sijui na mm lini hiyo bahati itantokea lol
yaani hivi hivi yaani hivi tu eehh loll hadi asbh bila kula asali?
ahh wapi tena mke wa mtu ametaka mwenyewe mhhhhh
afu nimwache eehh we usitudanganye lazima ulilamba asali
 
niwe waz kama nmemzoea ningeweza' lakn kama cjamzoe aisee ningeburudika tena free
 
Inategemea sana reception na mvuto wa huyo mke wa mtu! Kwangu jitu tipwa tipwa manyama uzembe hata afanyeje tena naweza tapika!
Ila kama mambo flani figure tight sura ipo, halafu anajifanya anamsimamo na kwamba sitaki na taka hehehehe, ni hadithi ingine. Kosa akijirahisisha zaidi ya hapo aaaahh, hanipati!
 
Vp wenye waume wanaoendaga semina haiwahuu?

Aliyeanzisha thread amesema m'mke ndio alilianzisha kwanza!
Hata historia ya Adam na Eva inaonyesha, eva alikuwa mshawishi mkuu wa kwanza.
 
It is either money at the expense of your marriage or marriage at the expense of money! FULLSTOP
 
amu haya sasa masihara

hii thread nimeifokonyoa na kuikuta page ya tatu ni hivi
mimi nataka ripoti kamili au mpaka tukuundie tume ndiyo utuambie yaliyojiri??
Au utamu umekolea?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu kisa chako ni kweli kinasisimua pamoja na ukakamavu wote uliouonyesha kwa siku ya kwanza kabla hujatuletea update ya siku ya pili na ya tatu nataka kukupa msamiati mmoja ukichukua mbuzi ukaipeleka kwa chui na kumwambia chui akutunzie mbuzi wako utakuja kumchukua kesho yake unadhani ukija kesho yake utamkuta yule mbuzi wako hajaliwa na chui? jibu utajaza mwenyewe.All in all kama motive behind ni kubana matumizi kwa ku share chumba huo mkakati finally uta fail maana siku zinazofuatia utamega na wewe mwenyewe kuanza kumgharamikia huyo mdada na hakika yake utarudi Tanzania huna kitu! Pole sana ndugu yangu.
 
No no no no no noooooo, that is not possible unless if your machine is mulfunctioning. A man who is perfect can not endure whatsover such a temptation.
 
Mdinye tuu kwani kwa mujibu wa vtabu vya kikiristu UKIMTAMANI TU MKE WA MWENZAKO BASI UMESHA ZINI NAE. Sasa Mbinguni wanahesabu umeshamdinya alafu wewe unasubiri nini.
 
Back
Top Bottom