The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
hiyo point nimeielewa sana...!!!!!Hiyo haiwezekani. Haina mantiki. There can be no self control wakati mwanamke yupo karibu. Hiyo ni kama ukienda juu mlimani ,wewe na mke wako,ukamkuta ascetic anaishi pale katika pango. Utamwambia,'' We unaishi peke yako huku mlimani bila mwanamke,kama mimi siwezi.''
Kweli anaweza kuishi peke yake almost indefinetly bila mwanamke,lakini huyo mke wako lazima ukae nae karibu. Kwa sababu ukiwaacha wawili muda mfupi,itakuwa balaa.