cartura
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,026
- 789
. Kitendo cha kuvuliana nguo tu na kulala kitanda kimoja, shuka moja tayari ni infidelity!
i agree with you 100%
. Kitendo cha kuvuliana nguo tu na kulala kitanda kimoja, shuka moja tayari ni infidelity!
Huko hakuna ndomu mkuu wachakutudhalilisha wanaume bwana.Kula maini hayo kaka.Ukimaliza mwambie hakuna kujuana
yaan mpaka semina iishe najua na mimba itkuwa imepatikana!
Leo ni siku ya ngapi vile??
hiki kitu nimeshakiona kwa jamaa yangu alikuwa anatembelewa na dada yake kutoka nchi moja kweli walikuwa wana lala kitanda kimoja ila mimi si shauri kitu hiki kifanyike maana wanawake usiku au ukiwa nao karibu wanabadilika nakuwa ibilisi fanya ufanyavyo utatembea naye tu. nakushauri tafuta kitanda kingine.
I have a strong feeling that huyu jamaa amem do huyu mama ndiyo maana sasa kanyamaza. Si rahisi hata kidogo kushare kitanda kimoja kwa siku tano mkivuliana nguo bila ya kufanya chochote! Labda awe na matatizo ya kiafya (Uhanithi).Mkiona hivyo mjue uzalendo umemshinda mbona kimya kashindwa kuendelea na ushuhuda wake
Leo ni siku ya tatu .bado mbili warudi home :A S 109:
Amin Amin nakwambia yeyote amwangaliaye jicho la kutamani mke wa mwenzie amezini naye tayari! sasa hapo ndugu si umalizie tu? manake kama umeshatamani, umeshakumbatia na umeshaona akikuvulia nguo, unasubiri nini au kama ofisini kwenu wamemtuma kuthibitisha tetesi kuwa wewe ni nyoka wa kibisa basi mwache lakini majibu utayakuta ofisi mkirudi!Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.
Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.
Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.
Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.
Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.
Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.