Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

kaka akili mali zitumie Mungu kakupa utashi ndugu mbona busara ni kitu kidogo wakazi, unathamini pesa ya cmpnzaidi zaidi ya ndoa yako?! Nyie mnayenu bhana ebu tupe fback ya cku zilizofuata cz mmejitakia wenyewe.
 
Naona kila m2 ana mzuka wa kujua kilichotokea au ndo hadith za abunwas a.k.a changamsha genge? raaaaahhhhh
 
update weka kwenye post yako ya mwanzo na uandike update na siku ya ngapi.

Naona imevutia watu wengi.
 
kaka akili mali zitumie Mungu kakupa utashi ndugu mbona busara ni kitu kidogo wakazi, unathamini pesa ya cmpnzaidi zaidi ya ndoa yako?! Nyie mnayenu bhana ebu tupe fback ya cku zilizofuata cz mmejitakia wenyewe.
.

1st_post_3.JPG

Hivi, unavamia nyumbani kwa watu bila hata kupiga hodi?! ... hata salaam?
... yaani Kurupu tii ndani!

Haya basi sisi wengine wote tuchunie .. ila jamaa unaemchangia ungeanza na salam!

Haya bwana ... karibu JF
.
 
Hilo ni kosa ambalo wengi wetu huwa tunanaswa nalo, kujiingiza kwenye ushawishi. Nakushauri uchukue chumba kingine la sivyo hayo matumizi mnayoyabana yatakuja kuwagarimu sana.
 
Wamlete Tz wamfungulie mashtaka ili Wanasheria uchwara wajitoe kumtetea huyu "mwenzetu". Hata kama hajakamatwa kikweli kweli tayari shetani keshamkamata! Biblia inasema kila "amtazamaye mwanamke na kumtamani" amekwishazini naye moyoni mwake. Sasa anapoomba Mungu Amusaidie asivunje Amri zake labda anaongelea amri ya kwanza maana ile ya "USIZINI" tayari keshaivunja! Pia awasiliane na Mke wake amuombe ushauri, aache kuleta uzi wa kipuuzi utuchukulie wajuzi wetu ktk kujadili upuuzi kama huu tuache kujadili Uchaguzi wa Wabunge wa EALA na issues zingine zenye maslahi ya kitaifa!

.
breaking_news_manuu.jpg

.
Wakuu,

Tulikuwa tunajiuliza mbona huyu jamaa haonekani kutupa updates za day 2!

Kumbe jamaa kakamatwa Dubai kwa kosa la kubaka ... wanadai alitaka kumbaka mfanyakazi mwenzake hotelini.

Source: CNN
hapo juu!

Haya mliokuwa mnamshauri mwenzenu vibaya .... nendeni mkamuwekee dhamana!
.

Hivi anaitwa Manuu au Manii? Huenda kakumbatiwa hadi akaanza kukosea kuandika hata jina lake. Sijui kama hata hiyo Semina itafanikiwa. Hao ndio Wabongo bwana, badala ya kwenda ku-concentrate na Semina na angalau kuturushia WanaJF kinachoendelea yeye anaturushia Uzinzi anaofanya! Ndio hawa hawa wanaosaini mikataba tata ya nchi wakiwa wamelewa na/au wamekabidhiwa vimada vya kuwa"bulabuja".
 
unachokifanya ni kibaya zaidi , nunua kondomu piga mzigo kuliko ukwepa alfu mnatesana wote . Kama unampenda mke wako utamlinda tu kwa kondomu hapa la sivyo unahatarisha maisha yako na familia yako . dunia yako chaguo lako
chagua kusaliti ndoa yako?
 
Hadithi hii inanikumbusha kisa cha rafiki yangu wa karibu kabisa. Yeye alisafiri na mfanyakazi mwenzie. Sasa wakati wanakata ticket ilikuwa pamoja. Walipofika qatar wakakuta wamewekwa chumba kimoja wakidhani ni bibi na bwana. Anyway kwa sababu ya ugeni wakapiga kimya. Rafiki yangu akajikaza usiku mzima wakiwa wamelala wote, na asubuhi wakaendelea na safari. Walipofika kazini, yule mrembo akatwambia mwenzenu vipi? Hivi ni mwanamme kweli? atalalaje na mm kitanda kimoja mpaka asubuhi bila kufanya lolote kwani mm dada yake? Habari zikamfikia rafiki yangu. alifedheheka sana tena sana.

Sikushauri ufanye lolote ni vizuri kujizuia kwa sababu huwezi jua utaangukia pua wapi. Ila jiandae ukiludi kama huyo dada ana nia mbaya na ww vijembe vya hapa na pale. Binadamu hana jema.

"Nitayaweza yote katika yeye anitiae nguvu"
huyo dada ana matatizo, kwani kulala na mtu ni lazima aku-nanihii? hivi ni kweli kabisa hakuna mkaka ambaye anaweza lala kitanda kimoja na mdada bila kuomba? kwa hawa, wamejitakia, hela wamelipwa lakini wanataka kufanyia shopping au kwenda kuendeleza site zao wakirudi home, je kama umepatwa na dharura itakuwaje? yaani huna jinsi, inabidi mlale wote...........
 
Mkwe hulali?
 
Hivi kweli men, Mu wa dhaifu kihivyo?mnashindwa kuvumilia japo kwa hilo!week! Duh mnawaza uzinzi tu? Kwani mkilala na mwanamke mzungu wa4,hapakuchi!?
Asee mnasikitisha,advices nyingi humu ni za kumshauri aombe mechi,kwani lazimaa? Dah imani graph 2wards you creatures imegota kwenye -1,ad zero imevuka!
Manuu kama mmedhamiria kwa faida yenu,hakika utazoea na utashinda.af si ajabu,ukijaribu kudokezea ombi,akakugeuka na ukafedheheka, ni jaribu zito la kujitakia,so You need to be strong!
 
Manuu toka jana anajipinda tena kwa nafasi sisi tunasubiria kwenye keyboard kama inatuhusu.kweli wajinga ndo waliwao.
 
Hivi kweli men, Mu wa dhaifu kihivyo?mnashindwa kuvumilia japo kwa hilo!week! Duh mnawaza uzinzi tu? Kwani mkilala na mwanamke mzungu wa4,hapakuchi!?
Asee mnasikitisha,advices nyingi humu ni za kumshauri aombe mechi,kwani lazimaa? Dah imani graph 2wards you creatures imegota kwenye -1,ad zero imevuka!
Manuu kama mmedhamiria kwa faida yenu,hakika utazoea na utashinda.af si ajabu,ukijaribu kudokezea ombi,akakugeuka na ukafedheheka, ni jaribu zito la kujitakia,so You need to be strong!

mmoja ya strenght ya simba ni kurarua mawindo yakiingia kumi na nane.... u strenght wake anatakiwa auoneshe kwa kuomba gemu sio kuachia mzigo uondoke... remember he iz a MAN
 
mmoja ya strenght ya simba ni kurarua mawindo yakiingia kumi na nane.... u strenght wake anatakiwa auoneshe kwa kuomba gemu sio kuachia mzigo uondoke... remember he iz a MAN

he is a man!but tatizo lipo,kwan asipoomba desh zake zitahama! Kwahyo wewe huwez kupitisha usiku na mwanamke bila kumgusa???ujinga uo na kujiendekeza! Ukidhan waonesha urijali kumbe unadhihirisha udhaifu wako!
 
hata kama hamtafanya chochote lakini amin nakwambia itakukost badae.

Yaani mara mia moja ni bora amtafune tu huyo dada. Maana ni nani anayeweza kuamini kwamba mlilala kitanda kimoja ila hamkufanya chochote? Halafu Mamuu unatuangusha wanaume wenzio!
 
kikubwa toa mawazo yote yatakayoweza haribu ndoa yako...chukulia poa tu.mnaweza mkashinda vishawish ila yataka moyo sana:disapointed:

Let's call a spade, a spade and not a big spoon here. Hivi kweli mwanaume ulale na mke wa mtu kitanda kimoja halafu useme eti hamfanyi chochote ili kulinda ndoa zenu? That is rubbish. Who will believe you? Kitendo cha kuvuliana nguo tu na kulala kitanda kimoja, shuka moja tayari ni infidelity!
 
Back
Top Bottom