Nimekwisha na UKIMWI

Picha Mkuu ya Majibu .....na muhuri wa Hospital uonekane ........Nawasilisha [emoji135]

Fursa2017
siwezi kufanya hivo mkuu,wewe elewa kuwa majibu yanaonyesha kuwa mimi nipo salama kabisa,sikulazimishi uamini,ila ukweli ndio huo,this shit is real mkuu!
 
Pole usihofu inawezekana huna. ila kwa nini uanze kuonja kabla ya ndoa? huyo sio mchumba wako. ni kimada wako.
hukujitunza
Pata mchumba , pima kwanza afya, usionje kabla ya ndoa !!
 
siwezi kufanya hivo mkuu,wewe elewa kuwa majibu yanaonyesha kuwa mimi nipo salama kabisa,sikulazimishi uamini,ila ukweli ndio huo,this shit is real mkuu!
Mkuu inabidi uongeze bidii kuhudhuria Vyumba vya ibada ndg ..... ...

Fursa2017
 
nahisi uelewa wako una shida kidogo,soma vizuri post za nyuma kabla ya kuja na pumba hizi,samahani lkn kwa kukujibu vibaya..
 
Nenda kapime kwanza na hospitali tatu za uhakika zinatosha na pia lazima ujue uwezekano wa wewe kutokuwa na virus ni 0.09%..
Jiandae kisaikolojia...
 
nahisi uelewa wako una shida kidogo,soma vizuri post za nyuma kabla ya kuja na pumba hizi,samahani lkn kwa kukujibu vibaya..
Unapata nguvu ya kuleta upumbafu wako baada ya kuwa umekutwa huna!!? Siku nyingine kabla ya kurespond uwe unafikiria kuwa sio kila mtu atakuja na kile ambacho wewe unakitaka...

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
mkuu majibu tayari nilishayapata kuwa mimi nipo salama,coz nilipima jana,pia mimi sio mjinga na wala siskukurupuka kwa lolote,ni mtu ninayejielew
mkuu nishapimwa na majibu niliyapata nipo salama,pia sio mjenga tena,i was,but not now again,kuendelea kutokupima kwa hali niliyokuwa nayo bado nishingeishi kwa amani tena,
Unapata nguvu ya kuleta upumbafu wako baada ya kuwa umekutwa huna!!? Siku nyingine kabla ya kurespond uwe unafikiria kuwa sio kila mtu atakuja na kile ambacho wewe unakitaka...

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
wewe vipi umepima lkn mkuu?
 
Mkuu kwa findings zako hizo za kupima ni kwamba.

1.Huenda upo kwenye window period kwamba ni ngumu kwa virusi kuonekana mpaka baada ya miezi mitatu.

2.Mkeo ameupata UKIMWI nje ya NDOA
 
Mkeo kakudanganya maana sikuhizi ukiwa mjmzito ukianza klinik lazima upime Ukimwi hyo n upende au usipeñde. Hvyo anapodai muda wote hakuwahi kujua siyo kweli. Ila usiwaze maisha huwa yanaendelea hayasimami, na usijipe hofu wakat hujapima bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ficha ujinga wako! wenzio tumeshatoka kwenye kifungo hicho cha ujinga, wewe umekaririshwa na "old school tie" bado unaendeleza ujinga wako
 
mke wako ni muongo cuz kama amejifungua kipindi cha clinic huwa wanapuma magonjwa yt kwa ajili ya kumlinda mtoto sasa kama alipewa majibu akakuficha hapo ndio c jui ila huo ugonjwa atakua anaujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio mjinga hasa. Na kwa taarifa yako, "kuficha ujinga" ndiyo ujinga wa kiwango cha juu kabisa, the most severe form of stupidity ni kuficha ujinga na kujifanya mwerevu.
 
Pole sana mkuu...kikubwa nenda kapime kwanza ili ujue status yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…