Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
du.. Mapenzi jf
Unashangaa tena? we si ulikuja na ishu ya kuoa Demu hapa JF?du.. Mapenzi jf
ahhaaaaaaaaaaaaaaa yani avatar yako na hayo mapengo cjui umetamkaje hilo neno twitter itakua limetoka kama thwitha hahaaaaaaaaaaaa
king'ast, mzimikiaji anaduka msasani la cosmetics,hilo nimemwambia akukabithi ww kuanzia leo ni la kwako! Changamka !!!usisahau mvua ya mate,lol :focus:
Kama si yeye basi huyu lazima atakuwa na Dadake, Mkuu huoni sura ya kibantu hiyo hapo??? Huyu ni wa hapahapa Tz, Usinikatishe tamaa, Nataka kuweka makazi ya kudumu hapo.
Fesibuku imekutana na twita!!
Nime like hapo kwenye nyekundu tu....Thats the Great thing about imagination B' it always sides with what you like best.... Atleast mrembo alinihakikishia ndo mwenyewe hasa...lol
Mkuu Gbollin masharti haya ni magumu sana na nidhahiri huyu dada anataka kukomba kila kitu na kutambaa zake,kama mwanaume mwenzako nakushauri uendelee na utaratibu wako wa kununua rejareja pale Kona Bar,huyu FB tutamuunganisha na pedejee moja la mujini ahangaike nae.ok! Kilio chako kimeskika nimekuja kwa heshiima ya asha dii na cantalisia,fuata yafuatayo kama unania,1.bank statement yako iwasilishe kwa bebii/prety kabla ya saa 12 jion leo2. Wosia wako wasilisha kwa mamdenyi3.hati ya nyumba kwa rejao ukiokosa mpe dr.riwa4.cadi ya gari mkabidhi kavati5.hati za mashamba mpe exxelence6.account yako iwe chini yangubaada ya hapo waweza ni pm!
ok! Kilio chako kimeskika nimekuja kwa heshiima ya asha dii na cantalisia,fuata yafuatayo kama unania,1.bank statement yako iwasilishe kwa bebii/prety kabla ya saa 12 jion leo2. Wosia wako wasilisha kwa mamdenyi3.hati ya nyumba kwa rejao ukiokosa mpe dr.riwa4.cadi ya gari mkabidhi kavati5.hati za mashamba mpe exxelence6.account yako iwe chini yangubaada ya hapo waweza ni pm!
Hii kitu iko wapi aseeNa karibia itakua ze utamu!