Nimekuzimia Ewe Mtoto Malaika wa JF

yaani watu tungejua what lies behind these avatars sidhani thread za hivi kama tungeziona.
 
kitabu cha uso kimedondokewa

Daughter, Avatar yako inavutia sana pia, ila yaonekana umeathirika na movie za Kinigeria sana. Ukimwona Feis Buku huko mwambie namwitaji hapa haraka sana.
 
Mamito feis watafutwa huku njoo uoke jahazi la Gbollin linazama jama, mwenzio hajiwezi juu fanya uje utulize mwenzio!
Usijali mkuu kwa sauti hizi zote ataibuka soon na we roho yako itapona lol!

Thenki Yuuuuuuuuuuuu!!!! Natarajia kwa matamshi yako hapo juu basi huyu binti mrembo atafika hapa muda si mrefu na kutuliza mtima wangu.
 
1.hawatafutani wala nini si ajabu wakati jamaa anarusha thread wapo wote.
2.kwani si mseme tuuuuu,tuanze michango ya arusi mkuu??????
 
Thats the Great thing about imagination B' it always sides with what you like best.... Atleast mrembo alinihakikishia ndo mwenyewe hasa...lol

Woooooooooooooouuuuuuuuuuuhhh!!!! Nime-win, Thank
 
1.hawatafutani wala nini si ajabu wakati jamaa anarusha thread wapo wote.
2.kwani si mseme tuuuuu,tuanze michango ya arusi mkuu??????

Mkuu kwanza heshima mbele, Hatupo pamoja wala nini, huyu mtu ndo kwa mara ya kwanza namuona hapa jamvini, Nilipotea sana ila leo niliporudi nimegundua kile nilichokuwa nakitafuta kipo hapa. ww kama nikifanikisha nitakupa kazi ya kusimamia harusi yetu. Mkuu endelea kuniombea nishinde hili zali.
 
ndio maana hadi leo sijajua niweke avatar gani......nisiwa mislead watu.

Mkuu, Maongezi yako tu yaonyesha wewe ni kidume, Haina haja ya wwe kufikiria uweke avatar gani, may wafikiria hivyo kwa sababu za usalama zaidi.
 
jamani,tufungeni novena kwa ajili ya huyu kijana,anateseka sana!!ee mola,mfanye Gbollin arest in peace akipata sura ya kitabu hiko,amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom