Nimekuzimia Ewe Mtoto Malaika wa JF

wakuu heshima mbele,katika pitapita yangu leo hapa jukwaani nimekutana na mtu mmoja ambaye mtima wangu umemzimia sana,ni mrembo mwenye sura nzuri, macho ya kuvutia na kifua ambacho mwanaume yeyote rijali kama mimi lazima atavutiwa na umbo la huyu binti.ukiiangalia avatar yake waweza dhani kama anakuangalia wewe au anakuita wewe ila ukweli ni pozi tu hilo.sijaona kama yeye hapa jf, kwakweli ni mzuri, mtamu zaidi ya asali, nahitaji ugali bila mboga kwani awapo yeye kwangu ni mboga iliyo kamilika.sintoacha kumsifia kwakuwa hata mmoja hapa jf hajafikia uzuri wa huyu mrembo, khaki ya nani mungu alimuumba huyu siku ya jumamosi tena alikuwa wa mwisho kabla hajaenda kupumzika.popote ulipo, popote usikiapo sauti hii, popote uwazapo uwepo wangu na vyovyote unichukuliavyo tambua nimekuzimia binti mrembo, hakika hata nikipewa chopper bado ili mtima wangu uache kukuwaza wewe sintoweza.namzungumzia huyu hapa;
user-online.png
feis buku
avatar52988_2.gif
jf senior expert member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
karibu kwangu mtoto malaika......!!! Upate tulizo la mtima wako........!!!!​
ok! Kilio chako kimeskika nimekuja kwa heshiima ya asha dii na cantalisia,fuata yafuatayo kama unania,1.bank statement yako iwasilishe kwa bebii/prety kabla ya saa 12 jion leo2. Wosia wako wasilisha kwa mamdenyi3.hati ya nyumba kwa rejao ukiokosa mpe dr.riwa4.cadi ya gari mkabidhi kavati5.hati za mashamba mpe exxelence6.account yako iwe chini yangubaada ya hapo waweza ni pm!
 
Una akili kama gobore la mgambo! Kungwi wako muambie ntamletea doti ya khanga za china siku ya kparty!
ok! Kilio chako kimeskika nimekuja kwa heshiima ya asha dii na cantalisia,fuata yafuatayo kama unania,1.bank statement yako iwasilishe kwa bebii/prety kabla ya saa 12 jion leo2. Wosia wako wasilisha kwa mamdenyi3.hati ya nyumba kwa rejao ukiokosa mpe dr.riwa4.cadi ya gari mkabidhi kavati5.hati za mashamba mpe exxelence6.account yako iwe chini yangubaada ya hapo waweza ni pm!
 
Weeh kaka,unitue kama ngoma! Mie sikua member,niliingia tu humo kumuona presidaa, nikaambiwa teknoko eraaa!
Mie sijambo, hujadondokea avatar yangu jamani?
Dah kumbe member wa hii kitu tulikua wengi..lol
Hujambo bi dada?
 
ok! Kilio chako kimeskika nimekuja kwa heshiima ya asha dii na cantalisia,fuata yafuatayo kama unania,1.bank statement yako iwasilishe kwa bebii/prety kabla ya saa 12 jion leo2. Wosia wako wasilisha kwa mamdenyi3.hati ya nyumba kwa rejao ukiokosa mpe dr.riwa4.cadi ya gari mkabidhi kavati5.hati za mashamba mpe exxelence6.account yako iwe chini yangubaada ya hapo waweza ni pm!

uko juu kama povu la bia....umemjibu sawa sawa na mahitaji yake........huu ugonjwa ni mbaya sana kwa vijana wengi ukizingati mwezi bado mchanga tarehe za kuanguka kifafa ndio hizi....
 
Na mahari upeleke kwa bujibuji leo hii kabla ya saa 10 jion

Hongera mdogo wangu Feis Buku kwa kuweka wazi mambo yako, ila nashangaa mama mdogo sijaambulia kitu!!! Kama hutamind, basi mkaja wa mama na beberu la babu alete kwangu. Baada ya hapo nafikiri tutasubiri send off tu, maana mambo ulivyoyapanga naona yamekabana hakuna hata posa kuletwa nyumbani kwa wazazi!!!!! Mwanamke akikipenda na kuthubutu anaweza!!!
 
Haya FB njoo utujuze kama umeshawahiwa umwambia jamaa ajipange upya kama ni chupa asage anywe au kitanzi ajinyonge yote hayo yako ndani ya himaya yako shosti.
 
Tafutaneni, kutaneni, fanyeni mtakavyo. Mkianza kukwaruzana msisite kuniambia nitawapa ushauri.
 
ok! Kilio chako kimeskika nimekuja kwa heshiima ya asha dii na cantalisia,fuata yafuatayo kama unania,1.bank statement yako iwasilishe kwa bebii/prety kabla ya saa 12 jion leo2. Wosia wako wasilisha kwa mamdenyi3.hati ya nyumba kwa rejao ukiokosa mpe dr.riwa4.cadi ya gari mkabidhi kavati5.hati za mashamba mpe exxelence6.account yako iwe chini yangubaada ya hapo waweza ni pm!
Mbona masharti yenyewe easy sana
 
Masharti Yote nimeshatekeleza tayari, Nasubiri kukukabidhi. Upo wapi now????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom