Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,609
- 59,655
Kwa ajili ya kuingiza Mkunduni labda ana tatizo la Mgolo yaan Constipation anakunya mavi magumu sana hali matunda kwa wingi na vyakula vywenye nyuzi nyuziKama risasi

Mkuu, anusol suppotiries nazijua zina mfanano huo hata paracetamol suppotiries zina mfanano huo so kwa kua jamaa hajui which is which itoshe kusema hiyo ni probably anusol au gynex v pessKwa ajili ya kuingiza Mkunduni labda ana tatizo la Mgolo yaan Constipation anakunya mavi magumu sana hali matunda kwa wingi na vyakula vywenye nyuzi nyuzi
I bet itakua fungus.'Suppostori', ni pain killer ama ni dawa za kuua fungus za ukeni.
Hazimezwi, hutumika kwa kupachikwa ukeni.
Dawa za namna hiyo pia hutumika kupachika sehemu ya haja kubwa kwa watoto wenye degedege.
Kwa huyo 'mkeo' kuna mawili, aidha anajitibu fungus au kupunguza maumivu.
vidonge aina ya CYNEX hutumika kitaalamu kutibu hali zinazohusiana na kutokwa kwa damu nyingi, kama vile hedhi nzito au bleeding kwenye matibabu mbalimbali.Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.
Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata
Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri
Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
View attachment 3447496
Kwa msaada wa mimi age-go. Si huwa mnasema sisi ni wajomba hatujui mitandao haya shika jibu hilo.Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.
Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata
Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri
Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
View attachment 3447496
🤣🤣🤣Watu Kweli ni wavivu siku hizi, then Hivi wewe kweli Ni MWanaume ? Yaani unawoga hata wa Kumuuliza Mkeo, Kwamba My Love nimeona Vidonge kwenye Pochi yako unaweza kunieleza ni kwa matumizi gani ? .... si hivyo tu unapatajibu ..... au chukua jina la vidonge ingia Google unapata jibu, au piga picha, nenda kwenye duka lolote la dawa waulize Unapata jibu ..... lakini waaaapiiii ..... siku moja mtu atauliza
" Wadau nina miaka 40 na leo nimegundua nina tundu Matakoni hivi hili tundu kila mtu analo na linaitwaje ? )
Kwa Uvivu huu maswali kama haya yanakuja wadau.......
ninao ninao subiri vipimo zali lamentali limegeuka kuwa zali la ugonjwa wa milele
Ndio hizi ni za fungus huko kwenye bibi Ina mchanganyiko wa metronidazole na miconazole unaipachika kwenye papuchi/ mbususu.ni hizi hapa mkuu sio za juu
Kwanza za kuzuia bleeding tunazijua sio hizommh lkn hata angesema tu mi sina noma mbona siwezi lazimisha kupiga mtu ako anatoka damu bro ningemuonea uruma kumeza midonge vikubwa vile
Haja kubwa ni anusol zinaingizwa tunduni, hizi za manzi ni cynex za kuingiza kwenye uke..Dawa zinazotumika kwa kupitia njia ya haja kubwa , ziko za matumizi tofaut mfano kutibu bawasiri, dawa za maumivu na kulainisha choo
View attachment 3447434
Mkuu hivyo vidonge NI bomu wanadada wasokomeza kwenye kum.a na mikund u Yao au urethra Kwa lengo la kuzuia mimbasijakuelewa madam una maanisha mimi kuwa mimi mgeni??
Hapa umeua na hilo ndilo jibu lake,,H
Hizo zitakua ni GYNEX PESSARIES ni combination ya Clotrimazole+Miconazole ni kwa ajili ya matibabu ya Vaginal infections like Vaginal candidiasis, Trichomoniasis, Bacterial vaginosis.
Bawasiri, mfariji anapata maumivu makaliTumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.
Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata
Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri
Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
View attachment 3447496
Asingeleta ungepata wapi wasaa wa kumtukana na hilo komwe lako kama kibaraza cha ficha bati?Kama jinga vile! Hivi hili ni jambo la kuleta mtandaoni na una picha na jina ya dawa! Pathetic🚮