Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

Haja kubwa ni anusol zinaingizwa tunduni, hizi za manzi ni cynex za kuingiza kwenye uke..
Nasubiri malaya waje hapa watoe majibu ila naona wamebunda tu kama vile hii issue hawaijui kumbe ndio msingi wao
Suppository ni muundo wa dawa inayotumika kawa njia ya haja kubwa zipo paracetamol, diclofenac, dawa kwa ajili ya bawasiri mfano anusol hii ni brand name nyingine ni pylocaine
Pessaries zinatumika kwa njia ya uke inaweza kuwa dawa ya fangus au antibiotic.
 
mambo ya ajabu kabisa kweli uke uwe imara kwa hali hii kweli
 
hizo ni zipi mkuu funguka mkuu naona profile yako ya watu kutoka illinois USA
Hapana mkuu sisi tulitokea bavaria Germany.
Chini ya ujenzi wa Pike.
Hizo ni za wazinzi wauza mechi so wanatibu maumivu au maambukizi ya ukeni..
Ikisuguliwa sana na wahuni inapoozwa maumivu ili iendelee kutembezwa.
Per day mnaweza kuuziwa wanaume kumi na binti mmoja
Amini hivyo..
Jitahidi sana upate wanawake wenye makalio makubwa itasaidia sana maana hawachepuki sana tofauti na hawa wanawake wenye maumbo irregular.
 
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.

Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata

Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri

Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
View attachment 3447496
Ondoa hofu, hakuna ARV ipo hivyo. Ila ikiwa una mwenza, ambaye hujui afya yake, ukagundua anakunywa dawa, basi shukuru sana.

Ukweli ni kwamba, mwathirika anayetumia dawa zake vzr, ni vigumu kuambukiza wengine. Wanaoambukiza wengine ni wale wasiokunywa dawa. Hawa wana idadi kubwa ya virusi katika damu zao, in fact 10th of bilions in each ml of blood. Ndio maana kila siku serikali inafanya jitihada watu wapime na wakijua afya zao waanze dawa. Kwakufanya hivi sio tu tunawaepusha wenye VVU kupata UKIMWI bali pia tuna punguza maambukizi mapya.

TUPIME, TUJITAMBUE, TUISHI!
 
Hizi ni suppositories — dawa zinazowekwa kupitia rektamu (mkunduni) au mara nyingine ukeni, kutegemeana na aina na matumizi yake.

Kwa muonekano kama huu, CYNEX TORPEDO huenda ni suppository ya kupunguza homa, maumivu au kushusha joto, hasa kwa watoto. Aina hii ya dawa hutumika:

  • Kupunguza homa kali
  • Kupunguza maumivu ya kichwa au mwili
  • Kama mbadala kwa vidonge wakati mtoto hawezi kumeza au anatapika

..labda kamnunulia mtoto wake nk
 
hana mtoto mkuu
 
Ondoa hofu, hakuna ARV ipo hivyo. Ila ikiwa una mwenza, ambaye hujui afya yake, ukagundua anakunywa dawa, basi shukuru sana.

Ukweli ni kwamba, mwathirika anayetumia dawa zake vzr, ni vigumu kuambukiza wengine. Wanaoambukiza wengine ni wale wasiokunywa dawa. Hawa wana idadi kubwa ya virusi katika damu zao, in fact 10th of bilions in each ml of blood. Ndio maana kila siku serikali inafanya jitihada watu wapime na wakijua afya zao waanze dawa. Kwakufanya hivi sio tu tunawaepusha wenye VVU kupata UKIMWI bali pia tuna punguza maambukizi mapya.

TUPIME, TUJITAMBUE, TUISHI!
ufanunuzi mzuri huu mkuu cocastic Evelyn Salt Binti wa zamani ni vizuri mkapime muwakinge muwapendao aloo BICHWA KOMWE - na chawa Lucas Mwashambwa
 
Hapana mkuu sisi tulitokea bavaria Germany.
Chini ya ujenzi wa Pike.
Hizo ni za wazinzi wauza mechi so wanatibu maumivu au maambukizi ya ukeni..
Ikisuguliwa sana na wahuni inapoozwa maumivu ili iendelee kutembezwa.
Per day mnaweza kuuziwa wanaume kumi na binti mmoja
Amini hivyo..
Jitahidi sana upate wanawake wenye makalio makubwa itasaidia sana maana hawachepuki sana tofauti na hawa wanawake wenye maumbo irregular.
duuu ko ikisuguliwa sana changamoto kumbe na hawa irregular shape ni balaa
 
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.

Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata

Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri

Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
View attachment 3447496
Mbona umeweka picha ya anusol
 
duuu ko ikisuguliwa sana changamoto kumbe na hawa irregular shape ni balaa
Irregular shapes hawana confidence kabisa so kama unavyowajua wanaume wengi sana hawana kinyaa.
Wanawatongoza sana hao irregular shapes.
So kisa hana ile kujiamini anajikuta anakubali kubali kila mwanaume na huwa wanawaza kuachika hata kama wako kwenye ndoa
Yaani wadada wenye matako makubwa wanawapa tabu sana wake za watu ambao maumbo yao hayaeleweki kuliko sisi tunavyotaabika juu ya hayo matako.

So wewe oa mwanamke mwenye matako makubwa hata tena liwe lizuri hata kama linafukuziwa na kila mwanaume oa hilo hilo.
Kuna siri kubwa sana nyuma ya viumbe wenye mvuto mkubwa wa kingono.
Na ukifumbua jicho la tatu kwa mwanamke wa hivyo unatoka kimaisha haraka.
Yaani mtoe kafara yeye usimuwazie sana na usiwekeze moyo wako kwake mtoe kafara utafanikiwa haraka sana.
 
Hizi ni dawa aina ya supositori (suppositories), ambazo ni dawa zenye umbo la koni au bullet-shaped zinazotumiwa kwa kuingizwa mkunduni (rectal) au ukeni (vaginal) ili zifyonzewe na mwili. Mara nyingi hutumika kutibu matatizo kama bawasiri (hemorrhoids), kuvimbiwa (constipation), maambukizi ya chachu (yeast infections kama thrush), joto la mwili (fever), au kutoa dawa za homoni au maumivu. Picha hii inaonyesha mfano wa supositori nyeupe katika kifungashio cha plastiki (blister pack), na moja imetolewa nje, ambayo ni picha ya kawaida inayotumiwa kuonyesha dawa za aina hii. Kulingana na matumizi ya kawaida, inaweza kuwa kwa ajili ya bawasiri au matatizo mengine sawa.
 
Back
Top Bottom