Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

Irregular shapes hawana confidence kabisa so kama unavyowajua wanaume wengi sana hawana kinyaa.
Wanawatongoza sana hao irregular shapes.
So kisa hana ile kujiamini anajikuta anakubali kubali kila mwanaume na huwa wanawaza kuachika hata kama wako kwenye ndoa
Yaani wadada wenye matako makubwa wanawapa tabu sana wake za watu ambao maumbo yao hayaeleweki kuliko sisi tunavyotaabika juu ya hayo matako.

So wewe oa mwanamke mwenye matako makubwa hata tena liwe lizuri hata kama linafukuziwa na kila mwanaume oa hilo hilo.
Kuna siri kubwa sana nyuma ya viumbe wenye mvuto mkubwa wa kingono.
Na ukifumbua jicho la tatu kwa mwanamke wa hivyo unatoka kimaisha haraka.
Yaani mtoe kafara yeye usimuwazie sana na usiwekeze moyo wako kwake mtoe kafara utafanikiwa haraka sana.
hooo kwenye kafara hapo rekebisha mkuu mimi nampenda YESU MWOKOZI WA MAISHA YANGU PEKEE nawaachia nyie toen kafara lkn mwisho wako ni mbaya kuliko maana hadi kizaz chako
 
Hizi ni dawa aina ya supositori (suppositories), ambazo ni dawa zenye umbo la koni au bullet-shaped zinazotumiwa kwa kuingizwa mkunduni (rectal) au ukeni (vaginal) ili zifyonzewe na mwili. Mara nyingi hutumika kutibu matatizo kama bawasiri (hemorrhoids), kuvimbiwa (constipation), maambukizi ya chachu (yeast infections kama thrush), joto la mwili (fever), au kutoa dawa za homoni au maumivu. Picha hii inaonyesha mfano wa supositori nyeupe katika kifungashio cha plastiki (blister pack), na moja imetolewa nje, ambayo ni picha ya kawaida inayotumiwa kuonyesha dawa za aina hii. Kulingana na matumizi ya kawaida, inaweza kuwa kwa ajili ya bawasiri au matatizo mengine sawa.
Anatembea mbele nyuma huyo mdada
 
ngoja ni set mood ntamuuliza mwenyewe hapa majibu ni mengi labda zipigwe kura
 
hooo kwenye kafara hapo rekebisha mkuu mimi nampenda YESU MWOKOZI WA MAISHA YANGU PEKEE nawaachia nyie toen kafara lkn mwisho wako ni mbaya kuliko maana hadi kizaz chako
Shida umekurupuka kuyasoma hayo maneno.
Kisa umeona neno kafara ukakimbilia faster maji ya upako si ndio?
Ungetuliza ndonga uulize kafara kwa namna ipi?

Sasa angalia unampenda Yesu au umeamua kufuata mafundisho ya kristo?
Kwasababu mwanadamu hajawahi kumpenda Yesu tangu hizo hadithi ziletwe.
 
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.

Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata

Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri

Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
View attachment 3447496
Atakuwa mwalimu huyo by profession hizo ni chaki tu mkuu
 
Siumrxree y unchecked Tina msibaa sie
 
Kama.mabomu ya marekani yaliyoharibu iran

Ila ile.sehemu ina vumilia sana jamanii

Jana nilikuwa choo kimoja sinza jamaa ametoka sijui kasahau kuflash yaaan

Mzigoooo uliotuliaaa juu nyokoo huamini umeoita kwenye kinyeooo mamama.....

hata mkojo haukutoka tenaaa..
 
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 ulikua mkubwa sana mkuu
 
Kama.mabomu ya marekani yaliyoharibu iran

Ila ile.sehemu ina vumilia sana jamanii

Jana nilikuwa choo kimoja sinza jamaa ametoka sijui kasahau kuflash yaaan

Mzigoooo uliotuliaaa juu nyokoo huamini umeoita kwenye kinyeooo mamama.....

hata mkojo haukutoka tenaaa..
nipe odds mkuu
 
Back
Top Bottom