Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

Safiri salamaaa🎶
Msalimu maulanaaa🎶
Tutaonanaa baaadaaaeeee🎶
 
ndio nini mkuu suppository kwenye nini??
Dawa zinazotumika kwa kupitia njia ya haja kubwa , ziko za matumizi tofaut mfano kutibu bawasiri, dawa za maumivu na kulainisha choo
images (40).jpeg
 
Relief: Torpedo SP Tablet relieves mild to moderate pain, such as headaches, toothaches, and post-surgical pain, effectively controlling numerous acute pain disorders. Anti-Inflammatory: Torpedo SP Tablet also serves to reduce swelling.8 Aug 2025 Leonce jr
 
hamna kaka mimi nimuelewa sana halafu nina kinyaa kuona damu zikitoka sehem ambapo hapana kidonda wala jereha bila sababu
Pole sana Mkuu!

Jaribu kumchunguza kuhusu hiyo hali, ukiona inaendelea Fanya mpango umpeleke hospitali kwaajili ya matibabu zaidi (hasa kama atakuwa na continues bleeding)

Anaweza kupata tatizo la kupoteza damu nyingi itakayopelekea apoteze maisha

Mwanaume pia anayemwingilia Mwanamke akiwa kwenye hiyo hali, anaingia kwenye hatari ya kupata maambukizi kiurahisi pamoja na kuanza kupata tatizo la nguvu za kiume
 
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.

Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata

Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri

Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
Hivyo vidonge vya jamii ya paracetamol hupunguza maumivu ama homa usiwe na presha
 
Cynex ni brand name ya hii dawa Tranexamic acid ni dawa za wanawake kupunguza maumivu ya hedhi nimemuuliza mtu
 
Back
Top Bottom