Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.

Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata

Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri

Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee

Zimekaa kamma vidonge vya kuzamisha mataconi kwa wenye shida ya severe constipation
 
sema mkuu kama unavijua ni vinatumika kufanya nini
'Suppostori', ni pain killer ama ni dawa za kuua fungus za ukeni.

Hazimezwi, hutumika kwa kupachikwa ukeni.

Dawa za namna hiyo pia hutumika kupachika sehemu ya haja kubwa kwa watoto wenye degedege.

Kwa huyo 'mkeo' kuna mawili, aidha anajitibu fungus au kupunguza maumivu.
 
Kama jinga vile! Hivi hili ni jambo la kuleta mtandaoni na una picha na jina ya dawa! Pathetic🚮
 
'Suppostori', ni pain killer ama ni dawa za kuua fungus za ukeni.

Hazimezwi, hutumika kwa kupachikwa ukeni.

Dawa za namna hiyo pia hutumika kupachika sehemu ya haja kubwa kwa watoto wenye degedege.

Kwa huyo 'mkeo' kuna mawili, aidha anajitibu fungus au kupunguza maumivu.
duu kweli torpedo kweli unajifyatulia kwa matako
 
Zimekaa kamma vidonge vya kuzamisha mataconi kwa wenye shida ya severe constipation
hii ni hatari sana haloo imagine men wakakupa unaweza jitoa malinda bure maana ni vikubwa
 
Cha kukushauri Anza kuandaa kabisa pa kupumzika Kwa amani maana Hivyo vidonge ni vya ugonjwa ule hatari kabisa
 
Mungu aliamua ukusaidie usingee ziona saiv ungekuwa umeungwa kwenye grade ya taifa
 
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.

Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata

Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri

Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
View attachment 3447496
Hatari hiyoo
 
Acha wasiwasi mkuu hizo za kafanana na izo ni CLOTRIMAZOLE VIGINAL PESSARIES

Screenshot_20250821-180639.png
Screenshot_20250821-180352.png
 
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.

Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata

Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri

Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
View attachment 3447496
Screenshot_20250821-181310.png

Gynex VIGINAL PESSARIES case closed
 
Mungu aliamua ukusaidie usingee ziona saiv ungekuwa umeungwa kwenye grade ya taifa
Hapana hizo ni Dawa zinatibu Bawasiri Sugu inayotoka nje kuna kinyama kinamtoka Mkunduni afanye amchunguze tu atajionea wala sio ngwengwe
 
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.

Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata

Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri

Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
View attachment 3447496
Kama risasi
 
Back
Top Bottom