Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

Sio mtaalamu wa afya, lakini nimejaribu kuiuliza google imeniambia ni dawa zinazotumika kuzuia kuvuja Kwa damu.

Inatumiwa sana na wadada wanaojiuza ili kuendelea kufanya biashara yao ya kuuza miili.

Inaonekana uliforce game wakati mwenzio alikuwa period
Kwahiyo ili asikupoteze akaamua kujiongeza Kwa kutumia hizo dawa za kuzuia bleeding
 
Wewe pain killer unayoijua ni panadol tu. Zipo pain killers kibao, usikariri. Una smartphone, una bundle ingia ulimwenguni utanue akili kuliko kujipa pressure za bure.
acha tu madam sijawai kuona pain killer kubwa vile ndio mara ya kwanza kwa kweli niliweuka aloo
 
Sio mtaalamu wa afya, lakini nimejaribu kuiuliza goggles imeniambia ni dawa zinazotumika kuzuia kuvuja Kwa damu.

Inatumiwa sana na wadada wanaojiuza ili kuendelea kufanya biashara yao ya kuuza miili.

Inaonekana uliforce game wakati mwenzio alikuwa period
Kwahiyo ili asikupoteze akaamua kujiongeza Kwa kutumia hizo dawa za kuzuia bleeding
mmh lkn hata angesema tu mi sina noma mbona siwezi lazimisha kupiga mtu ako anatoka damu bro ningemuonea uruma kumeza midonge vikubwa vile
 
mmh lkn hata angesema tu mi sina noma mbona siwezi lazimisha kupiga mtu ako anatoka damu bro ningemuonea uruma kumeza midonge vikubwa vile
Ngoja wajuzi waje, ila Kwa mujibu wa google inaonesha hizo ni dawa za kuzuia bleeding

Huenda ulikuwa unataka mzigo kwa kuforce sana hivyo akaamua kujiongeza Kwa kumeza hizo dawa

Wanawake huwa ni risk taker sana
 
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.

Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata

Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri

Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
Ungemeza kimoja kwanza uone madhara yake kisha ndiyo uje kuleta mrejesho.
 
Ngoja wajuzi waje, ila Kwa mujibu wa google inaonesha hizo ni dawa za kuzuia bleeding

Huenda ulikuwa unataka mzigo kwa kuforce sana hivyo akaamua kujiongeza Kwa kumeza hizo dawa

Wanawake huwa ni risk taker sana
hamna kaka mimi nimuelewa sana halafu nina kinyaa kuona damu zikitoka sehem ambapo hapana kidonda wala jereha bila sababu
 
hujasoma vizuri nilliiba kimoja lkn nikakipoteza na picha sikupiga ila nakumbuka ni CYNEX vikubwa rangi ya maziwa
Kuna tatizo gani wewe kumuita mpenzi wako mkakaa, Ukamuuliza kwa busara tu bila hata ukali ? Ukimuuliza mpenzi wako jambo kwa upendo ni vigumu sana hata kwake yeye kukujia juu...

anyways Next time have some balls and face your wife.
 
nishatoka huko sio wife ni mchumba ila nategemea awe mke huko mbeleni
 
Back
Top Bottom