Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

Relief: Torpedo SP Tablet relieves mild to moderate pain, such as headaches, toothaches, and post-surgical pain, effectively controlling numerous acute pain disorders. Anti-Inflammatory: Torpedo SP Tablet also serves to reduce swelling.8 Aug 2025 Leonce jr
ewaaaa asante sana nina amani sasa halooo mweee wanawake mtatuua kwa peesha muwe mnasema saa hii nina tatizo hili
 
Relief: Torpedo SP Tablet relieves mild to moderate pain, such as headaches, toothaches, and post-surgical pain, effectively controlling numerous acute pain disorders. Anti-Inflammatory: Torpedo SP Tablet also serves to reduce swelling.8 Aug 2025 Leonce jr
Kwa hiyo picha aliyoweka haiwezi kuwa Torpedo SP tablet. Picha inaonesha hiyo dawa ina shape ya pessary au suppository(inatumika kwa kuchomekwa kwenye vagina/anus).
Torpedo SP tablet ni combination ya dawa tatu(Aceclofenac+Paracetamol +Serratiopeptidase) zinazotibu maumivu na shape yake ni round.
 
gugo usome acha uvivu, kila kitu siku hizi kiko hadharani mtandaoni, mbona mimi nimeweka hayo majina ya hizo dawa chap nikaona ni nini na Zina kazi gani, sio kila kitu cha kufungua nyuzi, tunajicholesha bure Mitandaoni.
 
Hivyo ni vidonge vya kupunguza stress kwenye kipindi hiki cha uchaguzi
 
sijui pain killer znazijua kama unajua niambie haloo natamani kumuuliza lkn nashindwa
Wewe mbona mjinga sana ndio unatarajiwa uje kuitwa baba? Mwanamke yupo kinachofanya ushindwe kumuuliza ni nini? Hivyo sio vidonge vya Ukimwi.
 
Wewe mbona mjinga sana ndio unatarajiwa uje kuitwa baba? Mwanamke yupo kinachofanya ushindwe kumuuliza ni nini? Hivyo sio vidonge vya Ukimwi.
mimi sio mjinga mkuu. halafu sipo nishaondoka nipo mbali nae nimekumbuka tu. hata hivyo sio lazima kujibu
 
Watu Kweli ni wavivu siku hizi, then Hivi wewe kweli Ni MWanaume ? Yaani unawoga hata wa Kumuuliza Mkeo, Kwamba My Love nimeona Vidonge kwenye Pochi yako unaweza kunieleza ni kwa matumizi gani ? .... si hivyo tu unapatajibu ..... au chukua jina la vidonge ingia Google unapata jibu, au piga picha, nenda kwenye duka lolote la dawa waulize Unapata jibu ..... lakini waaaapiiii ..... siku moja mtu atauliza

" Wadau nina miaka 40 na leo nimegundua nina tundu Matakoni hivi hili tundu kila mtu analo na linaitwaje ? )
Kwa Uvivu huu maswali kama haya yanakuja wadau.......
JF kituo cha ushauri nasaha, JF ianze kutoza kila uzi wa kuomba ushauri, halafu kila senti igaiwe kwa watoa ushauri.
 
Kupiga demu kavu kwa Zama hzi ni moja ya ujasiri wa hovyo hasa Kwa nchi kama Tanzania iliyopo kwenye top ten ya VVU Worldwide , na victim wakubwa ni hawa mabinti below 26 , kupiga kavu jilipue Kwa mke wako tuu
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom