Nimekuta mke wangu ana mimba ya mwingine

Nimekuta mke wangu ana mimba ya mwingine

Piga dochi huyo mkeo tena fasta, atakusakizia na kuja kulea mtoto wa kibaka kisha majanga ya kumrekebisha huyo mtoto upate wewe. Usipende kulea mtoto wa mwenzako kwani kuna uwezekano kuwa baba wa huyo mtoto anaweza kuwa mwizi aliyeshindikana au kibaka. Kwa kuwa mkeo alikuwa anapewa hela za matumizi na huyo jamaa akahamua kuchapwa kavu kavu bila woga wa magonjwa ya maambukizi, meaning kwamba anamuamini huyo jamaa kuliko wewe au kama wewe. Kwa kifupi, una share mboo na mwanaume mwenzako na kama kampa mkeo gonjwa basi hilo gonjwa linakusubiri wewe ulivae na jamaa huko aliko anakucheka kwa kukuona ****** kukuchapia mkeo huku akisubiri umlee mtoto wake. Mtoto akizaliwa salama, Mama (mkeo) atachepuka kumpelekea jamaa (mume mwenzio) amuone mwanawe. Mkuu, usijiumize....piga chini huyo mkeo she's NOT trustworthy.


I can hear you bro...
 
Ok. You know what? Una katabia ka wanaume wa dar
 
Kama hutumi matumiz ulitegemea nini, we anza kutafta jina hakna namna atakwambia ilikuwa imejificha
 
Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month.
Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
Mpenzi au hawara wako,
 
Uone sinema hadi mwisho, kwan hapo ilipofikia haitosh kujua steringi hauwawi?
 
duh!!! yaani unamkuta mkeo ana mimba ya mtu mwingine na unamuangalia tu. na drama zote za mimba atakazokuwa anakuletea utazivumilia kweli???
wanawake wenyewe hawa hawa ambao ukiwa huna hela wanaondoka!!!
 
Hakika inabidi wakristo tufunge kuokoa taasisi hii ya ndoa inaelekea kupoteza maana.Siku haipiti hapa jamvini kila siku ni malalamiko tofauti ya uasi katika ndoa.Sample size inanyesha hali si shwari
 
Umekuta shamba wamekulimia.....
Mazao yako hayo, hadi pilipili zikiota ni zako
Hongera baba kijacho
Huyu atakuwa mwanaume wa mikowani tuu. Mwanaume wa Dar lazima amnajisi mtu(ukila vya watu lazima nawe uliwe ndani ya jiji)
 
mkuu sasa hivi ndo utafaidi vizuri kwa sababu atakuwa na joto kali sana na utamu unazidi maradufu
 
Back
Top Bottom