Nimekuta mke wangu ana mimba ya mwingine

Nimekuta mke wangu ana mimba ya mwingine

Tukisema siku hizi ndoa zimekuwa kama bongo movies watu wanapinga...hakuna uaminifu tena kwenye ndoa.unangaika kutafuta pesa mtu yuko anafanya mambo ya ajabu..usije kushangaaa mimba yenyewe inaweza kuwa ya muuza chips..Mungu ameamua kumweka hadhari kwa zambi aliyokuwa akifanya..
hakuna uaminifu ni ushetani mtupu wake na waume wanazaa nje ta ndoa,wake wengi wasagaji na waume wengi ni mashoga
 
Back
Top Bottom