Nimekuta mke wangu ana mimba ya mwingine

Nimekuta mke wangu ana mimba ya mwingine

"...When a woman tells the truth she is creating the possibility for more truth around her..."

Pole ila kama unataka kuujua ukweli jiandae kuumia.
 
Mmh, wewe kausha tu baada ya siku moja au mbili atakupa mkanda mzima kakini kuwa mwangalifu hususani nyakati za usiku maana mwenye mke (aliyempa mimba) anaweza kuibukia na kukutimua ndani ya himaya uliyobinafsisha bila kujua.
 
Piga dochi huyo mkeo tena fasta, atakusakizia na kuja kulea mtoto wa kibaka kisha majanga ya kumrekebisha huyo mtoto upate wewe. Usipende kulea mtoto wa mwenzako kwani kuna uwezekano kuwa baba wa huyo mtoto anaweza kuwa mwizi aliyeshindikana au kibaka. Kwa kuwa mkeo alikuwa anapewa hela za matumizi na huyo jamaa akahamua kuchapwa kavu kavu bila woga wa magonjwa ya maambukizi, meaning kwamba anamuamini huyo jamaa kuliko wewe au kama wewe. Kwa kifupi, una share mboo na mwanaume mwenzako na kama kampa mkeo gonjwa basi hilo gonjwa linakusubiri wewe ulivae na jamaa huko aliko anakucheka kwa kukuona ****** kukuchapia mkeo huku akisubiri umlee mtoto wake. Mtoto akizaliwa salama, Mama (mkeo) atachepuka kumpelekea jamaa (mume mwenzio) amuone mwanawe. Mkuu, usijiumize....piga chini huyo mkeo she's NOT trustworthy.
Asipokuelewa atakuwa somebody Lumumba
 
Kwanza pole sana kama ukikuta ujauzito sio wako ila fanya ivi mpeleke hospital mpime Ujauzito una Muda gani pamoja na HIV then utajua ufanyeje maana kuna wanawake tuna matumbo madogo sana unaweza zan ni wa miezi mitatu kumbe saba na kumbe alikuficha ili akusurprise alafu ukikuta sio ivo muepuke mapema si mzur Kwak
 
Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month.
Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
Hongera kwa kpt mimba ya bure,
Usiwaambie watu watakupora mimba yako!
 
Tukisema siku hizi ndoa zimekuwa kama bongo movies watu wanapinga...hakuna uaminifu tena kwenye ndoa.unangaika kutafuta pesa mtu yuko anafanya mambo ya ajabu..usije kushangaaa mimba yenyewe inaweza kuwa ya muuza chips..Mungu ameamua kumweka hadhari kwa zambi aliyokuwa akifanya..


Utakuta unahangaika kupambana na maisha mtu anataka umletee mapenzi ya tamthilia za kifilipino au anaibuka na mambo ya kipuuzi puuzi.

First priority ya mwanaume iwe kutafuta hela, wanawake wapo tu.

Huwezi kuwa mfalme bila mwenyewe kujiweza.
 
hayo ndio madhara ya Sex Phone...wewe lea mimba hiyo mkuu
 
Aisee mkeo kauzu,ameliwa kavu na mimba juu halafu hata mshipa wa aibu haumshiki!!!,huyo anaweza hata kukutoa roho yako usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
simpo simpo tu eti "nmerudi nimekuta mke wangu ana mimba sijui nini nini...we jamaa wewe,mambo ya ndoa sio simpo simpo kama unavyoyasema wewe...haya
 
Back
Top Bottom