Nimekuta mke wangu ana mimba ya mwingine

Nimekuta mke wangu ana mimba ya mwingine

Sio hivi hivi, hapo mkuu umezidiwa ujanja, ukute mali ni za mwanamke, au mwanamke anapesa kukuzidi ndio maana umejikunyata huwezi fanya chochote! Naye amekuzalau kwakuwa ameona huna cha kumfanya kama uwezo anao, wewe ni kapuku,, huna pa kuenda au unaogopa kugawana mali..
 
Mambo mengine magumu, hiyo mimba ya miezi mitatu aliitambuaje?

Maana alikuwa hata hajamuuliza mhusika kwa maelezo yake.

Kwa mbaali, ambapo njia zote zinamhusu mhusika:

1: Umpeleke kwenye ultrasound

2: Akwambie siku zilikoma lini

3: Umlaze na umpime kama kliniki ya mama na mtoto na uwe na ujuzi huo wa makadilio.
 
Ungeeleza kwa kina ili tujue kiini Cha mkeo kukucheat.
Kama hii story Ni ya kweli Basi Kuna mengi umetuficha.
 
Jana yule DJ wa Kenya alivyokuwa anamrekodi mtu akijitoa uhai watu walimwona mpumbavu Sana na kumbeza na kumdhihaki.

Hawa Wanawake wakichekewa unaweza Kutwa mke AnaTombwer mbele zako na mabaunsa na humuambii kitu .

Ndiyo maana Vijana hawataacha kukataa Ndoa

##KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI

JIPENDE JALI AFYA YAKO
 
Ushalogwa wewe? Umejua ana mimba ya mwingine bado unalala naye kitanda kimoja na nyumba moja!
 
Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month.

Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
Usimuulize kwa sasa...
Subiri ajifungue kwanza. Kitanda hakizai haramu..
 
Aisee mkeo kauzu,ameliwa kavu na mimba juu halafu hata mshipa wa aibu haumshiki!!!,huyo anaweza hata kukutoa roho yako usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kalogwa huyu, mke yupo na anampikia chakura au jamaa kawekwa ndani labda! Hana pa kuenda!
 
Back
Top Bottom