Sa miezi sita ina uwingi gani jamani...Ila miezi Sita mingi.
Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month.
Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
duh!!! yaani unamkuta mkeo ana mimba ya mtu mwingine na unamuangalia tu. na drama zote za mimba atakazokuwa anakuletea utazivumilia kweli???
wanawake wenyewe hawa hawa ambao ukiwa huna hela wanaondoka!!!
Mbona umemaliza ushauri wote mkuu,ungeacha hata kidogo tuhitimishe
Kweli ww mbishi...
Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month.
Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
Mkuu lete mrejesho, nadhani sasa mnalea mtoto gani?Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month.
Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
Mimba hutungwa miezi tisa na kuendelea jamaa alileta mada may 15 akidai inamiezi 3 hivyo kuanzia mwezi ujao katikati jamaa ategemee kuitwa babaMkuu lete mrejesho, nadhani sasa mnalea mtoto gani?
Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month.
Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
Usiombee. Unafikiri ukikuta hivyo utapata hata hiyo nguvu ya kushika simu uandike thread kwenye JF. Usichezee hiyo kitu. Omba mungu akuepushe na balaa hilo.Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month.
Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
Safi, wadau wamekusaidia shukuru tu.Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month.
Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
Kwa nini humuulizi lkn na wewe ungekuwa unabeba mimba huko ulikokuwa usingekuwa nayo?Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month.
Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa