Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,113
Heshima yako mkuuNimeambiwa kila mtu wale Haters hata waliokuwa wanajifanya marafiki wametoa povu la kutosha kufulia kombania nzima
Nipende kumshukuru sana Beira boy kwa uzi wake kwakuwa ni kwa kupitia huo uzi watu wameweza kupunguza vinyongo vyao na sasa wana nafuu kubwa
Walipata pa kusemea ikabidi watapike sumu zote... Hili ni jambo jema sana