Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,685
Umeniambia nitakuwa nafanya bongo movie, basi ngoja nikae kimya....Waguna nn Jilaniii?
Umeniambia nitakuwa nafanya bongo movie, basi ngoja nikae kimya....Waguna nn Jilaniii?
Mtu mmoja ana ID zaidi ya kumi humu jfBeira boy atakufa bure akiona huu uzi,maana naona kijana akiona watu wanaitana baby anafura kwa wivu utafikiri yeye ndiye modarator au ndiye maxcence mello,Beira ameonyesha udhaifu mkubwa sana nampa pole mdogo wangu huyu kama akiona nimemkera aje aniandikie na Mimi uzi wa kuninanga.Kwa kifupi hao tunawaita ma Bush lawyer
Na kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimfate anigeuze mbuzi mm[emoji20]
mfate mwenyewe si bae wako...
Pole sana nilikuwa angani ndio nimetuaNimekumiss kipenzi changuuuu jaman !
Yani natamani weekend iwe leooo tuwe pamojaaView attachment 742570
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yuko busy anapanga tunguli zake tayari kwa kazi ya usiku wa leo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]wewe@Demiss jifunze kupenda watu wazima kama Mshana jr kwa kuzingatia protocol zao,mtu mzima kama mshana hata utamu ukimkolea vipi usitegemee atakuja kukujibu text zako hapa mara ooh unajua bby nahisi kama natekwa na watu wasiojulikana,hao watu wazima akidata mnakutana huko inbox au text za tigo kwa airtel nk,we muendee faragha mfanyie kila kitu huko,huko ndio atadata kweli kweli,huko ata ndege yake ya usiku atakupa,sio hapa jamiiforum na mapenzi ya serengeti boy na twiga star
Nini kimetokea? Naona nyota nyota tuu... Kuna shida yoyote!? Nijuze tafadhaliBeira boy atakufa bure akiona huu uzi,maana naona kijana akiona watu wanaitana baby anafura kwa wivu utafikiri yeye ndiye modarator au ndiye maxcence mello,Beira ameonyesha udhaifu mkubwa sana nampa pole mdogo wangu huyu kama akiona nimemkera aje aniandikie na Mimi uzi wa kuninanga.Kwa kifupi hao tunawaita ma Bush lawyer
Ahhahaha shemeji yangu beira atakufa jamaniBeira boy atakufa bure akiona huu uzi,maana naona kijana akiona watu wanaitana baby anafura kwa wivu utafikiri yeye ndiye modarator au ndiye maxcence mello,Beira ameonyesha udhaifu mkubwa sana nampa pole mdogo wangu huyu kama akiona nimemkera aje aniandikie na Mimi uzi wa kuninanga.Kwa kifupi hao tunawaita ma Bush lawyer
Beira anaingilia Uhuru wa watu mama sabrinaAhhahaha shemeji yangu beira atakufa jamani
Atuache tuwabebishe bebi zetu yee atulie tuBeira anaingilia Uhuru wa watu mama sabrina
I have a dream.
Mimi kama nikikuta mke wangu ndo anaitana nao bebi nitachukia lkn hii kijamiiforum tu sina muda huo kila mtu ana utashi wakeAtuache tuwabebishe bebi zetu yee atulie tu