Tulikuwa kule kwetu akaniaga anaenda kufanya homeworkSalamaa mamy wapi kaka angu Mwifwa
Ulikuwa wapi??? Ndugu yangu@sumbai nini kimetokea?
Nilikuwepo tuuUlikuwa wapi??? Ndugu yangu
Hahahah! Leo ulikua umetembelea anga la wapiPole sana nilikuwa angani ndio nimetua
Kisiju moja iyoHahahah! Leo ulikua umetembelea anga la wapi
Ok . umri wako huo haustahili kumuita mtu baby.Nilikuwepo tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kwa vile hatusomi tu maandiko ama tukisoma tunasoma kwa kukariri bila kuelewa... Lakini maneno ya Mungu yanasema... NAO WATAITWA WANA WA MUNGU... kwahiyo Mungu hajasema kuhusu umri... Na kama ni mmoja ni MWANA..! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ok . umri wako huo haustahili kumuita mtu baby.
Nimenukuuu
[emoji120] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kwa vile hatusomi tu maandiko ama tukisoma tunasoma kwa kukariri bila kuelewa... Lakini maneno ya Mungu yanasema... NAO WATAITWA WANA WA MUNGU... kwahiyo Mungu hajasema kuhusu umri... Na kama ni mmoja ni MWANA..! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu ni next level kabisa ndio maana kuna mahali badala ya kusema WANA akatumia maneno haya WAACHENI WATOTO WADOGO WAJE KWANGU....
kwahiyo kuna WANA wa Mungu na kuna watoto wadogo
Tatizo labda ni lugha neno BABY ambalo tafsiri yake ni MTOTO
Majukumu yamenitenganisha nanyi wapendwa wangu [emoji18] [emoji18] [emoji18]Umepotea besti
HeeeYupo Mochwariii
wife....a real wife....sio wa maigizoUtapata nn mkuu
Utapata badowife....a real wife....sio wa maigizo