Nimekumiss Mshana Jr(Baby ake Chamdeko)

Nimekumiss Mshana Jr(Baby ake Chamdeko)

Natamani sana kama Waitherero wangu pia angekuwa hapa Jf. Tungetesa sana hapa ila saa zingine huwa anazidiwa na ushamba. 😀😀😀 Sijui ingekuwaje? Dilemma.
 
Naomba niwe mpenzi mtazamaji tu, maana najijua nilivyo na wivu, nisije nikazimia katikati ya hafla yako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Basi utakuwa Mpenzi muhusika kwenye hiyo hafla
 
eeeh tumewasili kumfariji dada yetu shemeji Demiss hahaha
Asanteee
image_search_1523548526621.jpg
 
Mmmmhh... Kuna kitu kimenifikirisha na kujipa majibu ya ajabu kichwani
 
Beira boy atakufa bure akiona huu uzi,maana naona kijana akiona watu wanaitana baby anafura kwa wivu utafikiri yeye ndiye modarator au ndiye maxcence mello,Beira ameonyesha udhaifu mkubwa sana nampa pole mdogo wangu huyu kama akiona nimemkera aje aniandikie na Mimi uzi wa kuninanga.Kwa kifupi hao tunawaita ma Bush lawyer
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom