Nimekumiss hadi nahisi kuumwa jamani

Nimekumiss hadi nahisi kuumwa jamani

alimaanisha dah!!
Mweeeh ngoja niwaache maana mimi bibi alinihusia ,chochote utakachofanya baada ya saa sita usiku ni evil ,matokeo yake ndio haya tena ya kuitwa dada na mbele yake kufuatiwa na neno zigo utata mtupu ..teh teh !
 
mkuu nimeomba msamaha hapo juu plz
Teh usijali mkuu najua ni hizi keyboard zetu ,ukiandika neno kabla hujamalizia lenyewe lishamalizia ,sasa usipokua makini ndio vioja hivyo hutokea
 
Unakoelekea siko shosti.....akitokea mtu akasogeza bega la kulilia amemaliza mchezo.....usifikiri haya achana na hayo lala ilu kesho uamke fresh kwa kazi

hapana siwezi fanya hivyo,unajua wanaume sijui hata wapoje
 
Mweeeh ngoja niwaache maana mimi bibi alinihusia ,chochote utakachofanya baada ya saa sita usiku ni evil ,matokeo yake ndio haya tena ya kuitwa dada na mbele yake kufuatiwa na neno zigo utata mtupu ..teh teh !

haya poa lala
 
hahahaha mkuuu cna mbavu, acha hayo bhana ni makosa ya kibindam bhana cwajua haya matouch mkuu?
tumpe dada kampani bhana tuko wengi tunaoumia ka yeye wengine pia tuna miezi tuko mbali na hivi vitu!!!
 
hahahaha mkuuu cna mbavu, acha hayo bhana ni makosa ya kibindam bhana cwajua haya matouch mkuu?
tumpe dada kampani bhana tuko wengi tunaoumia ka yeye wengine pia tuna miezi tuko mbali na hivi vitu!!!
Teh teh mkuu mimi nafurahisha jukwaa tu wala hakuna kitu personal hapa ,,naogopa kuendelea kubaki hapa nitakuja kumfuata Pm bure
 
Teh teh mkuu mimi nafurahisha jukwaa tu wala hakuna kitu personal hapa ,,naogopa kuendelea kubaki hapa nitakuja kumfuata Pm bure
hahaha but anapoelekea maelezo ni ya dume maana asa hamjui mwanaume
 
Aiseeeeeeeer aje akupe show mama ya kibabe Mimi wangu kila wiki lazima nimpe show yeye yupo Dodoma Mimi nipo Dar kikaz ijumaaaa lazima niondoke nsrudi jpili
 
Yaan huyu mwanaume nimemmiss hadi nahisi kuzima jamani,sijui hata nifanyeje long distance inaniumiza ,kwa vile nampenda hakuna jinsi japo ajue naumia jamani mi ni binadamu kha!!!!sio robot
ngoja nijilalie mie
nawatakia usiku mwema
Kumbe na wewe huwaga unamisi....

Kuna namna mbali mbali unaweza kufanya kupunguza upweke.

1. Skype chat naye kwa sana,
2. Jiweke bize na kazi/shule.
3. Anzisha activity ya kukuweka bize kwa mfamo Gym, Evening class e.t.c

... Au nitafute nikupe kampani.[emoji41] [emoji41]
... Au mfate huko aliko [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom