Nimekumiss hadi nahisi kuumwa jamani

Nimekumiss hadi nahisi kuumwa jamani

Jimena nashindwa kukuqoute sijui kwa nini ,inabidi uwe na roho ngumu sana kuweza kuhimili hiyo long distance relationship
We hayajakukuta tu, mtu unajikuta unapenda mpaka mwisho kiasi mpaka unasahau kuwa yuko mbali ukikaa unamhisi kama uko nae kumbe kumuona ni mpaka uvuke milima, mabonde na bahari lakini umo tu
 
Haya mama siwezi bisha kwa sababu mimi siamini katika hilo ,hivyo inabidi nikubaliane nawe
 
Inategemea lakini haiwezi kuzidi mwaka
Umefanya nikajipalia Kahawa hapa ...Mwaka ?? Hivi unajua maumbile ya mwanaume yameumbwa kutamani kuliko mwanamke ?? Kwa kifupi mwili wa mwanaume unawaka tamaa ,Au umemloga nini ?
 
Ndio nimemloga kwa mahaba motomoto

Akizidiwa nimemruhusu ajiunge na CHAPUTA[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Teh teh sasa mtu ndani ya mwaka mzima ni mwanachama hai wa chaputa uoni unajitengenezea mazingira ya wewe kutoka nje kwa jamaa kushindwa kukizi mahitaji yako kutokana na long run effects za nyeto ,hiyo kitu inatakiwa iwe suna sio on daily basis
 
Hawezi kuzidiwa daily.... Lakini mbona unaniweka kwenye mazingira ya kujiona ntaibiwa jamani? Mi nimechagua kumuamini
 
Kujielewa una maana gani mama ??

Hivi wanao cheat kumbe huwa hawajielewi eeh ??

Hiyo long distance labda wanawake ndio mnaweza kuvumilia ,asilimia kubwa ya wanaume wataishia ku cheat tu
Unajua kwakuwa wewe unashindwa usiongelee wote, nna experience na nnachosema...kama kuna good communication skype kila jioni na wote mko busy mbona siku zinaenda...ndio wanaocheat wengi ni kutokujielewa wanachokitaka,ukishindwa ni bora kusema kuliko kucheat...hii dunia bana watu tunatofautiana na kila kitu kinawezekana mkuu...
 
Hawezi kuzidiwa daily.... Lakini mbona unaniweka kwenye mazingira ya kujiona ntaibiwa jamani? Mi nimechagua kumuamini
Sina tatizo na wewe kumwamini ndugu yangu ,mimi naona hiyo ni mind game tu amekuweka kwenye mazingira ya kumwamini pengine ni kutokana na yeye kukuheshimu na kufanya mambo yake bila wewe kujua
 
Hapana kwasababu ananipenda basi hawezi kunifanya hayo unayohisi.
 
Unajua kwakuwa wewe unashindwa usiongelee wote, nna experience na nnachosema...kama kuna good communication skype kila jioni na wote mko busy mbona siku zinaenda...ndio wanaocheat wengi ni kutokujielewa wanachokitaka,ukishindwa ni bora kusema kuliko kucheat...hii dunia bana watu tunatofautiana na kila kitu kinawezekana mkuu...
Hiyo skype unayoingolea ni ipi mama ?? Asilimia ngapi ya watanzania wanaotumia Skype kuwasiliana ?? Mtu yupo Tandahimba na mwingine yupo mchambawima Zanzibar ,umeme tu ni tatizo achilia mbali kumiliki laptops ama simu na kulipia gharama za internet ,ku skype ndio mnamaliza haja zenu ama mnajiweka kwenye matatizo ?

Busy ?? Wewe huna social life ,au interact na watu ? Kwenye hizo social events u busy wako unakua kwenye nini ??
Umetoka out for couple of drinks with your friends ,one of them anaomba ucheze nae nyimbo yenyewe ni lets get it on ,unayecheza nae anajua wapi akushike hapo ujue anacheza na hisia zako ,sasa u busy wako hapo una apply vipi au unakua kama Robot ??
 
Hahahaa, umenifurahisha...mahusiano ni makubaliano kwahio hio ya long distance mnakua mmeshajipanga ni jinsi gani mtakabiliana nayo,kama mnashindwa si mnakuwa wa kweli ili msipotezeane mda,huo mfano wa Skype ni wangu..inaonekana umezoea kudate wadada weak kinachomfanya acheze na stranger ni kitu gani?yes I go out with friends for drinks,go club lakini kwa starehe zangu sio kwenda kupunguza genye...it has been almost five month now wala sijachepuka...wewe bana kama huwezi ni wewe..hakuna kinachoshindikana chini ya jua..everything lies in our mind we decide and make choices....
 
Hakuna mahali popote nimetaja stranger ,rafiki zako hawawezi kuwa stranger kwako inaweza ikawa ni rafiki zako unaofanya nao kazi ama uliosoma nao mnakutana ,

Unapokua club kwa hizo starehe zako ndio akaomba kucheza na wewe mnacheza nyimbo kama hiyo ya Marvin Gaye the guy is whispering in your ears ,mikono yake ipo kwenye kiuno inafanya movement ya kutoka kwenye tumbo mpaka kwenye nyonga ,ama you face each other your breasts are touching his chest na mdomo wake kauweka kwenye shingo yako huku mikono ikiwa inapanda kutoka mgongoni mpaka kwenye hips ,hapo akili za kawaida zinakua hazifanyi kazi ni hisia tu ,halafu uniambie mwanamke naye date naye yupo weak ? Mwee labda wewe hisia zako zipo kwenye kisigino
 
Sina tatizo na wewe kumwamini ndugu yangu ,mimi naona hiyo ni mind game tu amekuweka kwenye mazingira ya kumwamini pengine ni kutokana na yeye kukuheshimu na kufanya mambo yake bila wewe kujua
Mi navyojua sio wanaume tu hata wanawake pia wapo ambao hawawezi kukaa muda mrefu bila kuwa na wapenzi wao. Hivyo tabia hizo ni za kujiendekeza tu wala hazina uhusiano na maumbile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom