mkuu ukipinda hutafaidi bora uvumilie ck mkionana na mpenzi wako dah acha tuMimi hiyo longi disitensi tredi imeishanishinda siku nyingi nikiwa mbali lazima nipinde kushoto.
Mtaje jina tukusaidie kumtafuta, then tukuletee hapo ulipoYaan huyu mwanaume nimemmiss hadi nahisi kuzima jamani,sijui hata nifanyeje long distance inaniumiza ,kwa vile nampenda hakuna jinsi japo ajue naumia jamani mi ni binadamu kha!!!!sio robot
ngoja nijilalie mie
nawatakia usiku mwema
uncle b anakushauri vibaya we vumilia tu mwayaunamaanisha nipite barabara ya vumbi aaaargghh
yeec unahitaji kutumbuliwakwa hiyo ni jipu ee
mkuu kama na hela huna utabaka au!Teh teh ! Hela sina ,kula mlo mmoja kwa siku ,na hiyo kitu nikose pia ? Sasa nafanya nini kwenye hii dunia
Ktk mapenzi kuna vioja sana. unampenda mtu mpka unamuweka kumoyo then yeye wala hata habari hana yaaani..!!! dah inakera hiyo!anajijua ataona tu haina haja ya kumuita
kama waimia dawa ninayo ucjalinavumilia lakn naumiaa
yaani we acha tu haya makitu hayatabiriki mkuuKtk mapenzi kuna vioja sana. unampenda mtu mpka unamuweka kumoyo then yeye wala hata habari hana yaaani..!!! dah inakera hiyo!
Tuliza presha................................ nakuja siku za Easter/pasaka!!Yaan huyu mwanaume nimemmiss hadi nahisi kuzima jamani,sijui hata nifanyeje long distance inaniumiza ,kwa vile nampenda hakuna jinsi japo ajue naumia jamani mi ni binadamu kha!!!!sio robot
ngoja nijilalie mie
nawatakia usiku mwema
Jione huruma mpe mtu japo apitishe ulimiKule kwenyewe hamrushi video pamedorola weeee
Tuliza presha................................ nakuja siku za Easter/pasaka!!
Tuliza presha................................ nakuja siku za Easter/pasaka!!