MchunguZI
Platinum Member
- Jun 14, 2008
- 4,047
- 2,239
Ngoja niache lugha ya mzunguko. Huna sababu ya kuzidiwa. fanya kadri unavyohitaji na kwa yeyote uliyeridhika naye, badala ya kuhangaika kujinyima eti unalinda heshima. Sijui ni heshima gani hiyo wakati mwili hautakupa nafasi kama hiyo!kwa hiyo tukichepuka si itakua balaaa maana kila utakaechepuka nae utafananisha unaona hafai au sijakuelewa